Na Mwandishi Wetu NAIBU Waziri wa Viwanda na Biashara, Lazaro Nyalandu, awetaka wafanyakazi wa Mamlaka mbalimbali za Serikali vituo vya mipakani kuhakikisha wanazuia biashara yoyote ya magendo inayopenya katika mipaka hiyo. Waziri Nyalandu alisema hayo alipokuwa akizungumza na watendaji wa mamlaka hizo katika ziara yake ya kukagua masoko na vituo vya biashara mipakani eneo la Horohoro, ambalo ni mpaka wa …
JK alihutubia taifa, ajivunia ziara za nje, asema zinamafanikio
HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE KWA WANANCHI, TAREHE 30 SEPTEMBA, 2011 Ndugu Watanzania Wenzangu; Kwa mara nyingine tena naomba tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujaalia uhai na uzima, na kunipa fursa ya kuzungumza nanyi kwa kupitia utaratibu wetu huu mzuri wa kila mwisho wa mwezi. Mwezi huu tunaoumaliza leo ulijawa na mchanganyiko wa …
Italy kuwekeza zaidi kwenye sekta ya utalii
Na Rajab Mkasaba Ikulu, Zanzibar ITALY imeeleza azma yake ya kuendelea kuwekeza katika sekta ya utalii na sekta nyenginezo hapa nchini na kupongeza juhudi za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar za kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji. Hayo yalielezwa na Balozi wa Italy nchini Tanzania Mhe. Peirliugi Velardi alipokuwa na mazungumzo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. …
TFF yazionywa klabu Ligi Kuu ni kuhusu ada
WAKATI Ligi Daraja la Kwanza imepangwa kuanza Oktoba 15 mwaka huu, klabu saba kati ya 18 bado hazijalipa ada ili timu zao ziweze kushiriki katika ligi hiyo iliyogawanywa katika makundi matatu. Klabu ambazo hazijalipa ada ya kushiriki ya sh. 200,000 ni AFC ya Arusha, Majimaji ya Ruvuma, Polisi ya Iringa, Polisi ya Tabora, Rhino Rangers ya Tabora, Small Kids ya …
Mifuko 2100 ya Sukari yakamatwa Himo
KUFUATIA operesheni kabambe ya nchi nzima kukamata sukari inayosafirishwa nje ya nchi, Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mapato nchini (TRA), wamekamata mifuko 2100 ya sukari iliyokuwa ikivushwa mpaka kupelekwa nchini Kenya. Kiasi hicho kikubwa cha sukari kimekamatwa katika maeneo mbalimbali ya mpaka wa Tanzania na Kenya na kuhifadhiwa kwenye Ghala la Polisi Kituo cha …