CCM yalitwaa Jimbo la Igunga, yaibwaga Chadema na CUF
Kwa mujibu wa taarifa kutoka Jimboni Igunga matokeo ya Uchaguzi mdogo wa Igunga yametangazwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeibuka na ushindi kupitia kwa mgombea wake Dk. Peter Kafumu. Taarifa ambazo mtandao huu umezipata CCM imelitwaa jimbo hilo baada ya kupata kura 26,484, mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Joseph Kashindye amepata kura 23,260 huku CUF ikiambulia kura …
Wapemba waguswa na sensa ya majaribio ya watu na makazi 2011
Na Aron Msigwa –MAELEZO, Pemba ZOEZI la Sensa ya Majaribio ya Watu na Makazi 2011 linalofanyika katika wilaya ya Micheweni, Pemba limeonyesha mafanikio makubwa baada ya wananchi kujitokeza na kushiriki kikamilifu kutoa taarifa mbalimbali zinazowahusu katika maeneo yao. Msimamizi mkuu wa zoezi hilo ambaye pia ni Mkuu wa Ofisi ya Takwimu Pemba Bw. Haroub Ally Masoud amesema hayo leo mara …
RC Morogoro awaasa waandishi wa michezo
Na Mwandishi Wetu, Morogoro MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera amewataka waandishi wa habari za michezo kuacha dhana potofu ya kuripoti habari za uchochezi na badala yake waripoti habari zinazoelimisha jamii kwa ujumla. Bendera ametoa kauli hiyo leo wakati wa semina ya waandishi wa habari za michezo waliohudhuria mafunzo yaliyoandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo nchini …