TAIFA Stars inatarajiwa kuagwa Oktoba 6 mwaka huu saa 4 asubuhi kambini kwao hoteli ya Chichi iliyoko Kinondoni, Dar es Salaam kabla ya kuondoka siku hiyo hiyo mchana kwenda Casablanca kwa ajili ya mechi dhidi ya Morocco. Mechi hiyo ya mwisho ya mchujo kwa ajili ya fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika zitakazofanyika mwakani katika nchi za Equatorial Guinea …
Jeshi la Polisi kuingiza sera ya UKIMWI katika mitaala wa kufundishia
KATIKA kuendeleza jitihada za kupunguza maambukizi ya VVU nchini, Jeshi la Polisi linakusudia kuingiza sera ya UKIMWI sehemu za kazi katika mitaala yao ya kufundishi katika vyuo vya mafunzo ya awali ya Jeshi hilo. Lengo la kuingiza mitaala hiyo katika mafunzo ya awali ni utekelezaji wa mambo mbalimbali yaliyoandaliwa na Jeshi hilo katika awamu ya nne ili kutoa fursa …
Tanzania, Uganda kujenga reli ya Tanga-Musoma-Uganda
TANZANIA na Uganda zimekubaliana kuharakisha ujenzi wa reli ya Tanga-Musoma-Uganda ili kuhitimisha ndoto ya miaka mingi ya Mwanzilishi wa Taifa la Tanzania Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Nchi hizo mbili pia zimekubaliana kupanua bandari za Tanga na Musoma katika Tanzania, na kujenga bandari mpya nchini Uganda ili kuhudumia reli hiyo mpya kati ya nchi hizo mbili. Hayo ndiyo yalikuwa maamuzi …
Nsajigwa aumia mazoezini, wachezaji wa kulipwa waanza kuwasili
Na Mwandishi Wetu NAHODHA wa Taifa Stars, Shadrack Nsajigwa ameumia nyonga (groin) kwenye mazoezi ya timu hiyo yaliyofanyika leo Oktoba 3 mwaka huu, kwenye Uwanja wa Karume, Dar es Salaam. Kwa mujibu wa daktari wa Taifa Stars, Dk. Mwanandi Mwankemwa, maumivu hayo yatamweka Nsajigwa ambaye pia ni Nahodha wa Yanga nje ya uwanja kwa kati ya wiki mbili hadi nne. …