A social organization for humanitarian services based in Dar es Salam’s suburb of Mbezi Beach known s ‘Kikundi cha Akina Mama na Watoto’ (WAMATO) has embarked on delivering health services, particularly to the people living with HIV and AIDS (PLHIV) in the area. The group of elderly women of Mbezi Beach organized themselves in 1996 and now it is …
Diwani aliyetimuliwa Chadema avunja ukimya
Na Mwandishi Wetu, Arusha ALIYEKUWA Naibu Meya wa Jiji la Arusha na diwani wa kata ya Kimandolu, Estomih Mallah amevunja ukimya na kumtaka Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibroad Slaa na viongozi wenzake kuacha kuwadanganya wananchi wa Arusha na Watanzania kuhusu sakata la umeya wa Arusha kwa madai kuwa hakuna tena njia ya …
Chadema: Tunakwenda mahakamani
Ni kupinga matokeo ya Uchaguzi mdogo wa Igunga CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetangaza kwamba kitapinga mahakamani, matokeo ya ubunge wa Jimbo la Igunga ambayo yalimpa ushindi mgombea wa CCM, Dk. Dalaly Kafumu. Katika taarifa yake kuhusu uchaguzi huo aliyoitoa jana, Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe alidai kwamba kulikuwa na ukiukwaji mkubwa wa sheria, taratibu na maadili katika uendeshaji …
Shambulio baya latokea Somalia
TAKRIBAN watu 55 wameuawa na kinachodhaniwa kuwa mlipuko mkubwa uliofanywa na mtu aliyejitoa mhanga karibu na jengo la Serikali kwenye Mji Mkuu wa Somalia, Mogadishu. Walioshuhudia wamesema lori lililokuwa na milipuko lilikwenda moja kwa moja kwenye lango karibu na wizara moja ya Serikali na kulipua. Sheikh Ali Mohamed Rage, msemaji wa kundi la wanamgambo la al-Shabab, aliiambia BBC kuwa wamehusika …
DC ajivunia kurejea kwa usalama Sirari
KUIMARIKA kwa Ulinzi na Usalama katika mpaka wa Tanzania na Kenya katika Mji wa Sirari mkoani Mara kumetajwa kuwa chanzo cha kuimarika kwa shughuli za biashara katika eneo hilo. Hata hivyo, uwepo wa njia nyingi zisizo rasmi na upungufu wa watumishi wa mamlaka za Serikali na vitendea kazi katika mpaka huo, umeendelea kuwa sababu inayokwamisha mpango wa Serikali wa kukomesha …