Daktari mmoja ahudumia wagonjwa 10,000

Na Janeth Mushi, Arusha UPUNGUFU wa watumishi wa afya Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha umesababisha daktari mmoja kuhudumia wagonjwa zaidi ya 10,000 kinyume na viwango vya Shirika la Afya Duniani (WHO) vinavyoelekeza daktari mmoja kuhudumia wagonjwa 7,500. Hayo yamejulikana kwenye mjadala ulioandaliwa na Taasisi ya Idadi ya Watu Duniani (DSW) kupitia mradi wa Health Action kwa kushirikiana na mashirika mengine …

Timu ya 94KJ yaanza vema mechi za majaribio

Na Mwandishi Wetu ZIKIWA zimesalia siku nne kabla ya ratiba ya Ligi Kuu Daraja la Kwanza kuanza timu ya soka ya 94KJ yenye maskani yake Uwanja wa Vinyago Mwenge jijini Dar es Salaam inaendelea na maandalizi yake kwa kucheza mechi za kirafiki, ambapo tayari wiki hii imecheza mechi za kujipima nguvu. Siku ya Jumanne timu hiyo ilishuka dimbani katika Uwanja …