Foleni na benki ya NMB Korogwe

JUZI nilikuwa safarini kwa kazi za kijamii Mkoa wa Tanga. Miongoni mwa maeneo ambayo niliyatembelea ni Wilaya ya Korogwe ambayo ipo mkoani Tanga. Baada ya shughuli za kijamii niliamua kuvinjari baadhi ya mitaa kujua masuala anuai ndani ya mji huo. Nikiwa kwa mbali niliona mkusanyiko wa watu eneo moja hivyo kuamua kujisogeza kujua kulikoni ndipo nikasogea na kukuta ilikuwa ni …

Taifa Stars yawasili salama Morocco

Marrakech, Morocco TAIFA Stars imewasili salama hapa Marrakech, Morocco tayari kwa mechi dhidi ya wenyeji Morocco itakayochezwa Oktoba 9 mwaka huu saa 1.30 usiku kwa saa za hapa. Kuna tofauti ya saa 3 kati ya hapa na Tanzania, hivyo kwa saa za nyumbani mechi itakuwa saa 4.30 usiku. Timu ilitua Casablanca saa 9.30 ikitokea Doha, Qatar ambapo ililala juzi Alhamisi …

Wakenya wanamuaga Wangari Maathai

BIBI Maathai aliwahi kupata tuzo ya amani ya Nobel, na alikuwa maarufu kwa kazi yake ya kutetea wanawake na mazingira. Ibada ya wafu ilifanywa kwenye bustani ya Uhuru Park, Nairobi, ambayo Wangari aliitetea sana wakati serikali ya Rais Moi ilipotaka kuruhusu majumba kujengwa katika bustani hiyo. Maelfu ya watu walifurika katika bustani hiyo, wakiongozwa na kiongozi wa Kenya, Rais Mwai …

Taarifa kuhusu matumizi ya njia za uzazi wa mpango na maambukizi ya virusi vya Ukimwi

Tarehe 5 Oktoba, 2011, gazeti la “The citizen” lilitoa taarifa kuhusu utafiti ulioelezea kuwa, matumizi ya njia za uzazi wa mpango zenye vichocheo “hormonal contraceptives”, hususan njia ya sindano, inaweza kusababisha wanawake wanaotumia dawa hizo kuwa katika hali ambayo inarahisisha kupata maambukizi ya VVU, na pia kuwa rahisi zaidi kumuambukiza mwenzi wake iwapo mwanamke ana uambukizo wa VVU. Kwakuwa ni …