AMRI ya kutotoka nje imetangazwa mjini Cairo kufuatia machafuko yaliyotokea wakati wa maandamano yaliyofanywa na wakristo wa dhehebu la Coptic, nchini Misri. Inakadiriwa kuwa takriban watu 24 wameuawa na wengine zaidi ya mia mbili wamejeruhiwa vibaya katika machafuko mabaya zaidi ya kidini kuwahi kutokea nchini humo. Wakristo hao walikabiliana na wanajeshi waliowalaani kwa kutowalinda dhidi ya mashambulio yanayotekelezwa na baadhi …
Tanzania yafungwa 3-1 na Morocco
Marrakech, TANZANIA (Taifa Stars) imefungwa mabao 3-1 na Morocco katika mechi ya mchujo kuwania tiketi ya AFCON 2012 iliyochezwa leo hapa Grand Stadium na kushuhudia na maelfu ya watazamaji kwenye uwanja huo wenye viti 43,000. Hadi mapumziko matokeo yalikuwa sare ya bao 1-1. Wenyeji Morocco ndiyo walioanza kupata bao dakika ya 19 mfungaji akiwa Marouane Chamakh kwa mpira wa kichwa …
Mwakyembe apelekwa India kwa matibabu zaidi
NAIBU Waziri wa Ujenzi, Dk. Harrison Mwakyembe leo amepelekwa nchini India kwa matibabu zaidi ya ugonjwa wa ajabu uliomuanza kiasi cha miezi mitatu iliyopita kabla ya hali kubadilika siku za karibuni na hatimaye mwili wake kunza kuvimba na ngozi kuharibika. Kwa mujibu wa Mbunge wa Lupa Victor Mwambalaswa ambaye pia ni msemaji wa familia amesema hali ya ngozi Dk. Mwakyembe …
Jan Poulsen ataja kikosi cha kwanza
KOCHA Jan Poulsen ametaja kikosi cha wachezaji 11 ambao wataanza kwenye mechi ya leo dhidi ya Morocco. Mechi hiyo inaanza saa 1.30 usiku kwa saa za hapa ambapo nyumbani Tanzania ni saa 4.30 usiku na itachezwa Grand Stadium hapa Marrakech. Poulsen atatumia mfumo wa 4-4-1-1 huku akimweka Mbwana Samata kuwa mshambuliaji wa mwisho na nyuma yake akicheza Abdi Kassim. Katika …
The Margaret McNamara Memorial Fund 2012-13 for Female Students studying in the US and Canada
Call for scholarship applications for students from developing countries who are currently studying in the United States or Canada. Study Subject(s):Various Course Level:Graduate Scholarship Provider: The Margaret McNamara Memorial Fund Scholarship can be taken at: US, Canada Eligibility: has a record of service to women and children and a commitment to improve the lives of women and children in …
Leadership and Advocacy for Women in Africa (LAWA) Fellowship Program at Georgetown University Law Center, 2012-2013 USA
Masters Fellowship Program in the field of Law for the applicants of Africa Women at Georgetown University Law Center, 2012-2013 USA Study Subject(s):Law Course Level:Masters Scholarship Provider: Georgetown University Law Center Scholarship can be taken at: USA Eligibility:1.Must be a women’s human rights lawyer from Africa. 2.As a requirement of participation in the LAWA Program, all applicants must commit …