‘Maendeleo ya nchi hutegemea elimu ya Wananchi’

Rajab Mkasaba, Ikulu-Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema maendeleo yoyote ya nchi yanategemea elimu pamoja na kuwepo watu walioelimika. Dk. Shein aliyasema hayo leo Ikulu mjini Zanzibar wakati alipokuwa akitoa nasaha zake na pongezi kwa wanafunzi waliopata Daraja la Kwanza katika mtihani wa Kidato cha Nne na Sita mwaka 2010/2011 katika …

Kikwete atoa mbinua za kupunguza bei za vyakula Tanzania

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete amezielekeza taasisi zinazohusina na chakula nchini kutumia wingi wa ziada ya chakula ulioko nchini kwa sasa kukiingiza katika masoko ya mijini ili kupunguza bei ya chakula na pia kuunga mkono jitihada za masikini wa mijini kupata chakula kwa bei nafuu. Aidha, Rais Kikwete amezitaka taasisi hizo kuongeza kasi ya ununuzi wa …

UVCCM yawasha moto CCM

MALISA AWATAKA VIGOGO WAACHE KUINGILIA MAMBO YA CHADEMA KAIMU Mwenyekiti wa Umoja Vijana wa CCM (UVCCM), Benno Malisa amewataka vigogo ndani ya chama hicho tawala kuacha kuingilia mambo ya chama kikuu cha upinzani nchini, Chadema hasa mgogoro wake na madiwani wa Arusha Mjini na badala yake watafute suluhu ya matatizo ya msingi yanayoikabili nchi kama mfumuko wa bei na tatizo …

Pinda akutana na Makamu wa Rais wa Brazil

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Makamu wa Rais wa Brazil, Michael Temer kabla ya mazungumzo yao, kwenye Ofisi yake , Brasilia akiwa katika ziara ya kakazi nchini Brazili Oktoba 10, 2011. (Picha kwa hisani ya Ofisi ya Waziri Mkuu)