Dk. Shein ataadhalisha juu ya chakula

Na Rajab Mkasaba Ikulu-Zanzibar USALAMA wa Chakula nchini na duniani kote ni suala linalohitaji uangalizi mkubwa ili kuhakikisha haitokei uhaba wa chakula na watu wote wanapata mahitaji yao ya kutosha wakati wote hapa nchini. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema hayo leo katika ufunguzi wa Mkutano wa Sita wa Baraza la Biashara …

CCM yalia msiba wa Chadema, yakanusha kuhusika

Na Mwandishi Wetu CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha mmoja wa mawakala wa CHADEMA, Mbwana Masoud kilichotokea baada ya upigaji kura katika uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo la Igunga mkoani Tabora. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kitengo cha Mawasiliano na Umma, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM kwa vyombo vya habari inasema; kifo …

Ngoma Africa band waanza kwa kasi kuwanasa washabiki nchini GHANA

  JINAMIZI LA  BONGO DANSI LIMEANZA KUTISHA  NCHINI GHANA !   Vyombo vya habari nchini Ghana vimeitaja Ngoma Africa kuwa bendi bora ya kiafrika barani Ulaya !   Wanachi wa Ghana,Afrika magharibi  wamejikuta wakikosa usingizi na kushikwa na ugonjwa wa kudata akili mdundo wa mziki wa dansi kutoka Tanzania maarufu kama “Bongo Dansi” kizaa zaa hiko kilianza baada ya vituo …

Wanachama wa UWT watakiwa kuwa wavumilivu

Na Anna Nkinda – Maelezo, Tarime WANACHAMA wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wametakiwa kuwa wavumilivu, na upendo, uzalendo kwa Taifa, utayari wa kuthubutu na kutenda walichokiazimia, kushikamana na kupeana moyo wakati wote wa kumkabili adui ili waweze kuwaenzi waasisi wa umoja huo. Wito huo umetolewa jana na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati wa sherehe za kilele za …

Michuano Ligi Daraja la Kwanza na ratiba

MICHUANO ya Ligi Daraja la Kwanza hatua ya makundi msimu huu inayochezwa kwa mtindo wa nyumbani na ugenini inaanza Oktoba 15 mwaka huu. Jumla ya timu 18 zinashiriki katika ligi hiyo. Kundi A kesho itakuwa Temeke United vs Polisi Dar es Salaam (Uwanja wa Mlandizi, Pwani) na Mgambo Shooting vs Transit Camp (Uwanja wa Mkwakwani, Tanga). Mechi nyingine ya kundi …

Mtanzania aombewa ICT Ujerumani, Viingilio Simba Vs Lyon vyatajwa

MCHEZAJI Costancia Maringa wa Tanzania ameombewa Hati ya Uhamisho wa Kimataifa (ITC) ili aweze kucheza mpira wa miguu wa wanawake nchini Ujerumani. Chama cha Mpira wa Miguu cha Ujerumani (DFB) kimetuma maombi hayo Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) ili kumwezesha mchezaji huyo kuichezea timu ya FC 1919 Marnheim ya nchini humo. Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa DFB, Helmut …