Javier Hernandez aliisawazishia Manchester United zikiwa zimesalia dakika tisa kabla mchezo haujamalizika na kuisaidia timu yake kuambulia angalao pointi moja katika pambano kali dhidi ya Liverpool. Mshambuliaji huyo anayechezea pia timu ya taifa ya Mexico, aliingizwa mchezaji wa akiba kipindi cha pili, alitumia akili ya haraka baada ya mpira uliochongwa na Danny Welbeck na kufanikiwa kuisawazishia kwa kichwa timu yake …
Aston Villa yaipeleka Man City Kileleni
Manchester City imetumia mwanya wa Man United kuteleza kwa kwenda kileleni baada ya kuizaba Aston Villa 4-1. Kipa wa Man City, Joe Hart aliokoa mkwaju wa Gabriel Agbonlahor mapema, kabla ya Mario Balotelli kufunga goli maridadi la kwanza. Adam Johnson aliandika bao la pili baada ya Stephen warnok kufanya makosa, huku Vincent Kompany akiandika bao la tatu baada ya kuunganisha …
Wanakijiji Hanga waacha kuzalisha tumbaku, sasa walima alizeti na mhogo
MUUNGANISHO wa Ujasiriamali Vijijini (MUVI), Ruvuma umefanikiwa kuwavutia zaidi wajasiriamali wa zao la alizeti na mhogo katika Kijiji cha Hanga kilichopo Wilaya ya Namtumbo Mkoa wa Ruvuma. Ni muda wa saa mbili (kilometa 42) toka Manispaa ya Songea hadi Hanga wanapopatikana wana vikundi wa MUVI, ambao ni makundi ya Amka na Lichipi. Naweza kusema MUVI safari hii imekwenda kivingine zaidi …
Dar es Salaam Bloggers’ Circle Meeting
Dear Dar Es Salaam Bloggers, Dar es Salaam Bloggers’ Circle would like to invite you to a group meeting at 6:30 p.m. on Wednesday, October 19, 2011, at Cine Club. The purpose of the meeting is to learn more about the structure of Dar Es Salaam Bloggers’ Cycle for new members and to consider taking the first steps towards developing …
Rais Kikwete kuzindua mkutano wa uwekezaji Mpanda
Na Mwandishi Wetu RAIS Jakaya Kikwete kesho, Oktoba 17, 2011, anatarajiwa kuwasili wilayani Mpanda mkoani Rukwa kuzindua mkutano mkubwa wa uwekezaji wa Kanda ya Uwekezaji ya Ziwa Tanganyika (Lake Tanganyika Investors’ Forum). Mkutano huo wa siku moja ulioitishwa na Waziri Mkuu Mizengo Pinda unalenga kuinua Kanda ya Uwekezaji ya Ziwa Tanganyika ambayo inaihusisha mikoa ya Rukwa, Kigoma na mkoa mpya …