Na Rajab Mkasaba, Ikulu Zanzibar RAIS wa Zanzbar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema utalii ni sekta yenye uwezekano mkubwa wa kukua na kuwa na mchango mkubwa zaidi katika ukuaji wa uchumi nchini. Dk. Shein aliyasema hayo leo katika ufunguzi wa kikao cha siku ya pili ya mkutano wa sita wa Baraza la Biashara la …
Watakiwa kuwaangalia kwa jicho la huruma wasiojiweza
Na Mwandishi Wetu JAMII ya Kitanzania, imeaswa kuwaangalia kwa jicho la huruma watu wasiojiweza na wenye mahitaji maalum ili kuwaweza kuishi vizuri na kujiona kuwa ni sehemu ya jamii pamoja na mapungufu waliyokuwa nayo. Akizungumza katika hafla fupi ya kukabidhi misaada mbalimbali kwa kituo cha kulelea watoto ya tima na wanoishi katika mazingira magumu cha Friends of Don Bosco iliyofanyika …
Serengeti Breweries mdhamini mwenza ‘Vodacom Mwanza Open Cycle Challenge’
KAMPUNI ya Bia ya Serengeti Breweries Limited (SBL) kupitia kinywaji chao cha Malta Guinness imejitosa kudhamini mbio za baiskeli zijulikanazo kama “Vodacom Mwanza Open Cycle Challenge” zitakazofanyika Oktoba 22 mwaka huu jijini Mwanza. Kwa mwaka huu mashindano hayo yatakuwa maalum kwani yatashirikisha mbio za kilomita 196 kwa wanaume, 80 kwa wanawake ambapo kwa upande wa walemavu ni Kilometa 15 kwa …
Upinzani Liberia kuyakataa matokeo ya uchaguzi
Vyama ninane vya upinzani, vikiwemo viwili ambavyo ni wapinzani wakuu wa Rais Ellen Johnson-Sirleaf vimesema kuwa vitayakataa matokeo ya uchaguzi wa urais uliyofanyika wiki hii vikidai kuwepo kwa wizi mkubwa wa kura. Kwa mujibu wa matokoe yaliyotolewa Ijumaa iliyopita, Rais Johnson-Sirleaf anaongoza kwa 45.4 ya kura dhidi ya mpizani wake mkuu Winston Tubman wa chama cha CDC aliyepata 29.5 asilimia …