CAF kutoa leseni za ukucha daraja ‘C’ Tanzania

Na Mwandishi Wetu KOZI ya ukocha kwa ajili ya kupata leseni za daraja C kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) itafanyika Ofisi za Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kuanzia Novemba 7 hadi 20 mwaka huu. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo jijini Dar es Salaam na Ofisa Habari wa TFF, Boniface Wambura amesema jumla ya makocha …

Dk. Nchimbi aeleza sababu za kushuka kwa maadili

Na Janeth Mushi, Arusha WAZIRI wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo, Dk. Emmanuel Nchimbi amesema kitendo cha kuporomoka kwa maadili nchini kinatokana na makabila mengi kupuuza na kutokuzingatia mila na desturi kama ilivyokuwa awali. Waziri Nchimbi amesema hayo leo mjini hapa katika tarafa ya Enaboishu wakati alipokuwa akizindua sherehe za jando kwa vijana wa kiume wa rika la Ilkishiru wa …

Viongozi wa EU kufikia mwafaka wa sarafu ya euro

KANSELA wa Ujerumani na Rais wa Ufaransa, , KANSELA wa Ujerumani na Rais wa Ufaransa, Nicolas Sarkozy wamefanya kikao maalum pamoja na viongozi wa mataifa wanachama wa Umoja wa Ulaya. Mkutano huo umefanyika ikiwa ni siku nne kabla ya kikao maalum kitakachoyajadili masuala ya fedha na mitikisiko katika eneo linalotumia sarafu ya euro. Duru zinaeleza kuwa, Rais wa Umoja wa …

TAMWA kuwanoa wanahabari 30 kuripoti vitendo vya ukatili

Na Mwandishi Wetu WAANDISHI wa habari 30 kesho Ijumaa ya Oktoba 21, 2011 watakutana jijini Dar es Salaam kuimarisha ujuzi wa kutafuta na kuripoti kwa mafanikio vitendo vya ukatili ambavyo vimekuwa vikiwaathiri zaidi wanawake, wasichana na watoto. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo jijini Dar es Salaam kwa vyombo vya habari na Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Waandishi wa Habari …

SAFA yaomba radhi na kuondoa rufaa CAF

CHAMA cha Soka cha Afrika Kusini (Safa) kimefuta rufaa yake iliyokuwa na utata kwa Shirikisho la Soka la Afrika Caf kuhusiana na utaratibu wa kufuzu kwa Kombe la Mataifa ya Afrika. Safa pia imeomba radhi kwa nchi kutokana na timu yao ya taifa ya soka Bafana Bafana kushindwa kufuzu kucheza katika mashindano yajayo ya Kombe la Mataifa ya Afrikas. Chama …

Ghasia za waandamanaji wa Ugiriki

Serikali ya Ugiriki kupunguza matumizi

BUNGE la Ugiriki limeidhinisha mpango mpya wa serikali ya nchi hiyo wa kupunguza matumizi yake ili kukabiliana na mzozo wa madeni unaokumba taifa hilo. Kura kuhusu mswada huo ambao utapunguza matumizi ya serikali na kuongeza viwango vya ushuru, imejiri baada ya ghasia na maandamano yaliyofanywa na wafanyikazi wa umma kupinga mikakati hiyo. Mabomu ya petroli na mawe yalirushwa wakati wa …