RAIS wa shirikisho la soka Ulaya, UEFA Michel Platini anasema FIFA lazima kuimarisha sifa nzuri ulimwenguni Michel Platini, na wakauu wengine saba kutoka barani Ulaya, watafanya kwanza mkutano wao kando ili kukubaliana katika mambo machache ambayo wangelipenda kutiliwa maanani na Sepp Blatter, na raia wa Ufaransa Plattini anasisitiza juu ya kupitisha mapendekezo hayo ambayo yataipatia nguvu mamlaka zaidi kamati ya …
Breaking News; NTC wathibitisha kumuua Gaddafi
*Mwili wake wawekwa msikitini WAPIGANAJI wa Majeshi ya Baraza la Mpito la Libya (NTC) wamethibitisha kuuwawa kwa aliyekuwa kiongozi wa nchi hiyo. Akizungumza na vyombo vya habari muda huu nchini Libya Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Mahamoud Jibril amesema Kanali Muammar Gaddafi amekufa muda mfupi baada ya kukamatwa na majeshi NTC kutokana na majeraha makubwa aliyoyapata katika mapambano. Amesema Gaddafi …
Family Planning, HIV services, under one roof
The Ministry of Ministry and Social Welfare is finalizing plans to introduce a national guideline to enhance integration of sexual and reproductive health and HIV and AIDS services delivery under one stop center. Under the planed integration program, different sexual and reproductive health and HIV services will be joined together to ensure maximum collective outcomes, that would include referrals from …
The speech delivered by President Kikwete at the Climax of the UDSM
SPEECH DELIVERED BY H.E. DR. JAKAYA MRISHO KIKWETE, PRESIDENT OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA, AT THE CLIMAX OF THE UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM 50TH ANNIVERSARY CEREMONY HELD AT THE NKRUMAH HALL ON 20TH OCTOBER, 2011 Your Excellencies, Ladies and Gentlemen; I feel deeply honoured and privileged to be part of this joyous and historic event of celebrating the …
Majeshi ya Libya ‘yamkamata’ Gaddafi
MAKAMANDA Makamanda kutoka Baraza la Mpito la Libya wamesema wamemkamata aliyekuwa kiongozi wa Libya Kanali Muammar Gaddafi. Taarifa hizo zimetolewa baada ya Majeshi ya Baraza hilo la mpito kudai kudhibiti Sirte, mji alipozaliwa Kanali Gaddafi. Hata hivyo taarifa zinasema hakuna uthibitisho huru wa kukamtwa kwake. Kanali Gaddafi alichukua madaraka nchini Libya mwaka 1969. Alitolewa madarakani katika machafuko yaliyoanza mwezi Februari. …
U.S. checking reports of Gaddafi’s capture, death
WASHINGTON, U.S. officials on Thursday scrambled to check reports that deposed Libyan leader Muammar Gaddafi had died after being captured near his hometown of Sirte following months of civil war. Gaddafi was wounded in the head and legs as he tried to flee in a convoy that came under attack from NATO warplanes at dawn, a senior official with Libya’s …