TANZNIA imepongezwa kwa jitihada zake za kutekeleza Malengo ya Milenia ambayo yalilenga katika kupunguza vifo vya akina mama na watoto na pia jitihada zake katika kupambana na ugonjwa wa Ukimwi na athari zake. Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) Dkt. Asha Rose Migiro ameyasema hayo leo asubuhi Ikulu ambapo amekuja kuleta ujumbe maalum kwa Rais kutoka kwa Katibu …
Poulsen ataja wachezaji wa U17 watakao kwea pipa
Na Mwandishi Wetu KOCHA wa Timu za Vijana Tanzania, Kim Poulsen ametaja kikosi cha Timu ya Vijana wa Chini ya Miaka 17. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Ofisa Habari wa TFF, Boniface Wambura (pichani) jana; amesema Poulsen amewataja wachezaji 14 ambao wanatarajia kuondoka nchini Oktoba 27 kuelekea Johannesburg Afrika ya Kusini. Amesema timu hiyo itaanza mazoezi leo katika uwanja …
WAMA, GE kushirikiana kupunguza vifo vya wajawazito na watoto
Na Anna Nkinda – Maelezo TAASISI ya General Election Health Magination (GE) ya nchini Marekani imeamua kufanya kazi na Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) ili kuhakikisha kuwa vifo vya wanawake wajawazito na watoto vinapungua hapa nchini. Hayo yamesemwa jana na Mkurugenzi wa Programu wa Taasisi hiyo Janeen Uzzell wakati akiongea na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete alipomtembelea ofisini …
Tanzania yapaa kwa rushwa Afrika Mashariki!
Tanzania imezidi kufanya vibaya katika mizania ya rushwa katika nchi tano za ukanda wa Afrika Mashariki, baada ya kupanda kutoka nafasi ya nne iliyokuwa ikiishikilia mwaka jana hadi ya tatu mwaka huu. Burundi inashika nafasi ya kwanza ikifuatiwa na Uganda, ya tatu Kenya, huku Rwanda ikiwa ya mwisho katika mizania ya rushwa Afrika Mashariki. Matokeo hayo yamo kwenye ripoti ya …
Viongozi Chadema waachiwa huru
Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) waliokamatwa juzi kwa madai ya kuvunja amri ya polisi ya kutofanya mkutano wa hadhara, wameachiwa huru. Viongozi hao wanane, wanachama wawili na dereva mmoja, waliachiwa juzi usiku baada ya kuwekewa dhamana na wanachama wenzao. Walikamatwa kwa madai ya kuvunja amri ya kutofanya mkutano wa hadhara katika viwanja vya Barafu, mjini hapa. Waliokamatwa …
Mama Salma: Majungu na fitna sumu ya maendeleo
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete, amewaonya wananchi kuepuka majungu, fitna na migongano kwani ni sumu ambayo kamwe haiwezi kuleta maendeleo. Mama Salma aliyasema hayo juzi jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa umoja wa vikundi vilivyopo chini ya Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (Wama). “Vikundi vilianzishwa ili kuleta maendeleo nchini lakini vikundi vingi huvunjika kutokana na mfumo mbaya …