Wastaafu wa iliyokuwa EAC sasa waokota ‘makopo’ Dar

BAADHI ya Wazee Wastaafu wa iliyokuwa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) sasa wamegeuka waokota makopo na chupa jijini Dar es Salaam, wakitafuta fedha za kujikimu. Uchunguzi uliofanywa na dev.kisakuzi.com jijini Dar es Salaam kwa muda, umebaini wazee hao sasa wanaokota makopo na chupa katika mitaa kadhaa ya jiji la Dar es Salaam (hasa katikati ya jiji) wakitafuta vijisenti vya kuweza …

Mechi za wiki hii za Ligi Kuu ya Vodacom

Mechi za wiki hii za Ligi Kuu ya Vodacom ni kama ifuatavyo; Oktoba 24- Coastal Union vs Polisi Dodoma (Uwanja wa Mkwakwani) Oktoba 24- African Lyon vs Villa Squad (Uwanja wa Chamazi) Oktoba 25- Moro United vs Ruvu Shooting (Uwanja wa Chamazi) Oktoba 25- Mtibwa Sugar vs Azam (Uwanja wa Manungu) Oktoba 26- Toto Africans vs Kagera Sugar (Uwanja wa …

Sabri Ramadhan aibuka Mchezaji Bora wa Sept

KIUNGO wa timu ya Coastal Union, Sabri Ramadhan ‘China’ amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Septemba katika Ligi Kuu ya Vodacom. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Dar es Salaam na Ofisa Habari wa TFF, China amechaguliwa baada ya kupata pointi nyingi kwenye mechi alizocheza kwa mwezi huo. Baadhi ya mechi alizopata pointi nyingi ni dhidi ya African Lyon na …

Arusha yang’ara ‘Vodacom Mwanza Open Cycle Challenge 2011’

Na Mwandishi Wetu, Mwanza MKOA wa Arusha jana umeng’ara kwenye mashindano ya mbio za wazi za baiskeli za Vodacom Mwanza (Open Cycle Challenge-2011) baada ya Richard Laizer wa mkoa huo kuibuka mshindi na kuwashinda washiriki zaidi 400 walijitokeza kushiriki kwenye mashindano hayo kwa upande wa wanaume. Kwa ushindi huo Laizer amejinyakulia sh. milioni 1,500,000 na kuvikwa taji lililokuwa likishikiliwa na …