Rais wa Zanzibar Dk. Ali Shein aapishwa

RAIS wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein, ameapishwa na Jaji Mkuu wa Tanzania kwa ajili ya kushiriki vikao vya baraza la Mawaziri wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hii ni kutokana na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kifungu 54 ibara ya kwanza ambayo inawataja wajumbe wa Baraza la Mawaziri kuwa ni Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Rais wa …

Serikali yawasaka wafanyabiashara haramu wa madini

Na Janeth Mushi, Arusha SERIKALI mkoani hapa leo inafanya msako kuwatafuta wafanyabiashara wadogo (ma-bloker) wanaofanya biashara hiyo bila ya leseni. Wafanyabiashara wanaoendesha biashara hiyo bila taratibu watafikishwa kwenye vyombo vya sheria. Kauli hiyo imetolewa leo na Kaimu Kamishna wa Madini Kanda ya Kaskazini, Erick Mpesa alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa. Amesema msako huo utakuwa wa siku tatu …

Hii ndio siri ya Kanali Gaddafi kuuwawa?

KUNA watu wengi wamekuwa na maoni tofauti juu ya kifo cha aliyekuwa kiongozi wa Taifa la Libya Kanali Muammar Gaddafi. Wapo wanaounga mkono juhudi za kumng’oa madarakani zilizofanywa na majesji ya NATO kwa kushirikiana na waasi wa Libya. Na hapo hapo lipo kundi ambalo haliungi mkono wala kukubaliana na sababu zilizokuwa zikitolewa na waliokuwa wakiendesha kampeni ya kumng’oa madarakani. Baadhi …