Effective condom programming essential for HIV infections reduction–TACAIDS

EFFECTIVE and consistent condom programming for reduction of new HIV infections has been cited as one of the challenges Tanzania face in the implementation of the National Multisectoral HIV Prevention strategy 2009/2012. Speaking at the UN joint Mission to Tanzania meeting that involved representatives from the United Nations Population Fund (UNFPA), United Nations Children’s Fund (UNICEF), and the Joint United …

Dk. Shein azindua boti mpya Zanzibar

Na Rajab Mkasaba, Ikulu-Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amezindua boti mpya ya Kilimanjaro ‘111’ na kueleza haja kwa wafanyakazi wa vyombo vya baharini kutumia sheria na taratibu zilizowekwa na Mamlaka husika badala ya kutoa huduma hiyo kwa matakwa yao na kuwasumbua wasafiri. Alieleza kuwa kufanya kazi katika vyombo hivyo vya bahari …

Mbunge wa Chadema, wanachama wakamatwa

Na Janeth Mushi, Arusha MBUNGE wa Jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema (CHADEMA) na wanachama wenzake 19 juzi walikamatwa na Jeshi la olisi mkoani hapa na kushikiliwa kwa muda kwa tuhuma za kufanya maandano na mkusanyiko usio na kibali. Kaimu Kamanda wa Polisi wa mkoani hapa, Akili Mpwapwa, alithibitisha kukamatwa kwa Lema juzi jioni kwa tuhuma hizo, baada ya mbunge …

Mama Salma ahudhuria mkutano wa Jumuia ya Madola

Na Anna Nkinda – Perth, Australia MKE wa Rais, Mama Salma Kikwete ni mmoja wa wake wa viongozi wa nchi wanachama wa Jumuia ya madola waliohudhuria mkutano wa siku tatu wa jumuia hiyo unaofanyika mjini Perth nchini Australia. Wake hao wa viongozi walishiriki ufunguzi wa mkutano huo uliofunguliwa na Malkia Elizabeth wa pili na baada ya ufunguzi waliweza kuendelea na …