Jumuiya Ya Watanzania Kusini Mwa California Yakutana!

  Na Mwandishi wetu, Los Angeles, CA JUMUIYA ya Watanzania kunisi mwa California ilikutana siku ya Jumamosi jijini Culver City na kujadili masuala mbalimbali kwa maendeleo ya Jumuiya na Tanzania kwa ujumla. Jumuiya hiyo, ambayo imepata uongozi mpya hivi karibuni chini ya Mwenyekiti Bi. Rabia Dahal iliweza kujadili mfuko wa chama, umuhimu wa Wanajumuiya kushiriki katika shughuli za Jumuiya, na mipango na shughuli …

Yanga yailamba Simba 1-0

MCHEZAJI, Davis Mwape wa timu ya Yanga ya Dar es Salaam jana alikuwa mwiba kwa mashabiki na klabu ya Simba baada ya kufanikiwa kuifungia timu yake bao la pekee lililoipa ushindi timu hiyo. Yanga imefanikiwa kunyakuwa pointi zote tatu katika mchezo wa jana baada ya kushinda 1-0 dhidi ya watani wao wa jadi Simba. Bao hilo lililofungwa kipindi cha pili …

Kenya wagoma kuzungumza na Al-Shaabab

SERIKALI ya Kenya imesema haiwezi kufanya mazungumzo na kundi la wapiganaji la Al-Shaabab. Akizungumza nchini Kenya, wizara ya ulinzi, katibu katika wizara ya usalama wa ndani, Francis Kimemia, amesema Kenya itaimarisha mikakati yake ya kijeshi dhidi ya kundi hilo, hadi pale itapopata hakikisho thabiti la usalama wake. Mkuu wa majeshi nchini Kenya, Jenerali Karangi, amethibitisha kuwa tangu mikakati hiyo ya …

Uingereza yaipiga ‘nyundo’ Serikali ya Tanzania

YATOA ASILIMIA 30 KWENYE FUNGU LA BAJETI SERIKALI ya Tanzania imepata pigo kiuchumi baada ya Uingereza kupunguza msaada wake katika fungu la bajeti kwa mwaka wa fedha 2011/12 kwa asilimia 30, Mwananchi Jumapili limebaini. Hatua hiyo ya Uingereza kupitia Idara ya yake ya Maendeleo ya Kimataifa (DFID), imekuja wakati nchi wahisani zinazochangia bajeti ya serikali (GBS), zikisema zitapitia misaada ya …