WAZIRI Mkuu wa Uingereza, David Cameron amesema kuwa meli zilizosajiliwa Uingereza zinaweza kuwa na walinzi wa kujihami ili kujikinga na maharamia. Waziri mkuu huyo alitoa taarifa hizo alipokuwa akihojiwa na Shirika la Habari la BBC, na kuongeza kuwa anataka kushughulikia zaidi tishio linalokabili meli katika pwani ya Somalia – ambako meli 49 zilitekwa na maharamia mwaka jana. Hivi sasa sheria …
Pinda achangisha milioni 111.6 kanisani
*Simu ya sh. 60,000 yachangisha sh. 522,000 SIMU ya Nokia aina ya NOKIA 2600 ya Leonard Kapinga (37) mkazi wa Msasani leo mchana (Jumapili, Oktoba 30, 2011) ambayo kwa kawaida huuzwa kwa sh. 60,000 hadi 65,000, ilikuwa kivutio cha pekee katika michango ya mavuno kwa jimbo katika parokia ya Mt. Petro jijini Dar es Salaam ambapo ilichangiwa sh. 522,000 ili …
Stars yapangwa Msumbiji CAN 2013
TIMU ya Tanzania (Taifa Stars) imepangwa kucheza na Msumbiji katika kinyang’anyiro cha kutafuta tiketi ya kucheza fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika zitakazofanyika mwaka 2013 nchini Afrika Kusini. Upangaji ratiba wa mechi hizo za mchujo ulifanywa Oktoba 28 mwaka huu) na kamati ndogo ya michuano hiyo mjini Malabo, Equatorial Guinea. Jumla ya nchi 47 ikiwemo mwenyeji Afrika Kusini ndizo …
Ligi Kuu ya Vodacom Mzunguko wa kwanza kumalizika
MZUNGUKO wa kwanza wa Ligi Kuu ya Vodacom unamalizika wiki hii kwa mechi zifuatavyo; Oktoba 30- Kagera Sugar vs Azam (Uwanja wa Kaitaba) Oktoba 30- Villa Squad vs Ruvu Shooting (Uwanja wa Chamazi) Oktoba 30- Mtibwa Sugar vs Moro United (Uwanja wa Manungu) Novemba 2- Oljoro JKT vs Villa Squad (Uwanja wa Sheikh Kaluta Amri Abeid) Novemba 2- Moro United …
Mtanange wa Yanga, Simba waingiza mil. 337
MECHI ya Ligi Kuu ya Vodacom kati ya timu maarufu za Yanga na Simba iliyochezwa Oktoba 29 mwaka huu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam imeingiza sh. 337,537,000. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana kwa vyombo vya habari kutoka TFF, inasema watazamaji waliokata tiketi kushuhudia mechi hiyo walikuwa 53,366 ambapo kiingilio kilikuwa sh. 5,000, sh. 7,000, sh. 10,000, sh. 15,000 …
UNIFEM yawataka Wanawake kutumia nafasi zao
Na Anna Nkinda- Perth Australia WANAWAKE wametakiwa kutumia nafasi zinazotolewa na Mfuko wa Umoja wa Mataifa kwaajili ya Maendeleo ya Wanawake (UNIFEM), katika kujiletea maendeleo yao na ya mataifa yao kwani lengo kuu la kuanzishwa kwa shirika hilo ni kumuinua mwanamke na kuleta usawa wa kijinsia. Hayo yamesemwa jana na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika hilo Dk. Noeleen Heyzer wakati akizungumza …