Vodacom yawekeza mil. 90 kwa shule 20 za msingi Dar es Salaam

*Yakabidhi madawati 225 kwa shule 5 za Ilala, Kinondoni TATIZO la uhaba wa madawati kwa shule anuai za msingi nchini ambalo limekuwa kero kubwa na kuchangia baadhi ya wanafunzi kufanya vibaya kimasomo shuleni huenda likapata ufumbuzi kutoka na taasisi na mashirika binafsi nchini kuendelea kusaidia suala hilo. Moja ya mashirika hayo ni mfuko wa kusaidia jamii wa kampuni ya mawasiliano …

22 waitwa kuunda Stars ya kuivaa Chad

Na Mwandishi Wetu KOCHA Mkuu wa Taifa Stars, Jan Poulsen leo ametangaza kikosi cha wachezaji 22 kwa ajili ya mechi ya mchujo ya Kombe la Dunia dhidi ya Chad itakayochezwa Novemba 11 mwaka huu jijini N’Djamena. Poulsen ametangaza kikosi hicho leo alipozungumza na vyombo vya habari jijini Dar es Salaam. Mchezaji aliyeitwa kwa mara ya kwanza ni kipa Mwandini Ally …

Wanahabari Zanzibar kufundishwa sheria za ukatili kijinsia

Na Gurnam Ajit-TAMWA WANAHABARI 20 kutoka Zanzibar Novemba Mosi, 2011 wanatarajiwa kufundishwa namna ya kuzichambua sheria zinazohusu masuala ya Ukatili wa Kijinsia (GBV) ili kukuza kasi ya kupambana na vitendo hivyo. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari na Mkurugenzi Mtendaji wa TAMWA, Bi. Ananilea Nkya leo Dar es Salaam. Amesema vitendo vya ukatili wa kijinsia vimekuwa vikiongezeka …

Mbunge Lema, wenzake waswekwa ‘lupango’

Na Janeth Mushi, Arusha MBUNGE wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia CHADEMA, Godbless Lema na wafuasi wenzake 11 wamesweka rumande baada ya kushindwa kutimiza masharti ya dhamana dhidi ya kesi inayomkabili ya kufanya maandamano na mkusanyiko bila kibali. Shauri hilo lenye namba 437 la mwaka 2011, Mbunge huyo na wafuasi wake 18 wote kwa pamoja wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi …

Wajasiriamali wanawake wawasaidie vijana-Waziri Simba

Na Joachim Mushi WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Tanzania, Sophia Simba amesema ushiriki wa wanawake katika shughuli za ujasiriamali nchini zimeku zikichangia kiasi kikubwa maendeleo ya nchi. Pamoja na hayo amewataka kuhakikisha wanaweka jitihada za kuwafundisha shughuli za kijasiriamali vijana ili kukabiliana na tatizo la kukosekana kwa ajira rasmi. Waziri Simba ameyasema hay oleo ndani ya Viwanja …