MAREKANI imefuta mchango wake wa fedha kwa Shirika la Elimu Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) baada ya shirika hilo kuruhusu Palestina kuwa mwanachama kamili. Uingereza ilisusia kura ya uamuzi wa kuipa Palestina uanachama wa shirika hilo, lakini ulipitishwa na idadi kubwa ya wanachama licha ya upinzani mkubwa kutoka wajumbe wa Marekani na Israel. Msemaji wa Wizara ya …
TFF yatoa ufafanuzi juu ya Kamati ya Ligi Kuu
YAH: KAMATI YA KUSIMAMIA LIGI KUU NA DARAJA LA KWANZA Uamuzi wa kutenganisha usimamizi wa Ligi Kuu na mashindano mengine haukufanyika siku za karibuni. Ulifanyika mwaka 2006 wakati Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) wakati ule ilipoamua kuwa hatua zichukuliwe kuboresha Ligi Kuu nchini na kupanga utaratibu mzuri wa kuisimamia peke yake. TFF iliomba msaada …
Wasiojiweza Kimbangulile wahitaji msaada wa jengo
Na Mwandishi Maalumu KITUO cha wasiojiweza cha Kimbangulile Support Group kimesema kinahitaji jengo kwa ajili ya ofisi na darasa kwani kwa muda wa miezi sita sasa hawajaweza kufundisha watoto 18 kati ya 64 wanaowahudumia katika kituo hicho. Mwenyekiti wa kikundi hicho, Bi. Leokardia Mchau ametoa ombi hilo mwishoni mwa wiki wakati wafanyakazi wa kampuni ya DataVision International Limited walipotembelea kituo …
CCM inateswa na gamba, kura za maoni
BAADHI ya wenyeviti wa mikoa wamesema kura za maoni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka jana na mchakato wa kujivua gamba, ndiyo umekuwa ukitesa chama hicho kikongwe barani Afrika. Wiki iliyopita, kada mwandamizi wa chama hicho na mlezi wake mkoani Arusha, Stephen Wassira alikuwa akihaha kusaka suluhu ya mpasuko ndani ya Umoja wa Vijana (UVCCM) na wa CCM ndani ya mkoa …
Career highlights – Jay Jay Okocha
IN football, there are no prizes for second place. As it will be for the contestants in the GUINNESS® FOOTBALL CHALLENGE™, it’s all about working hard, aiming as high as possible, and most importantly, getting out there and giving it your best. As the saying goes, if you don’t shoot you won’t score – and when I look back over …
JK amteua Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF
Na Mwandishi Wetu RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, jana amemteua Ladislaus Mwamanga kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF). Kwa mujibu wa taarifa ya iliyotumwa kwa vyombo vya habari leo kutoka Ikulu inaeleza kuwa uteuzi wa Mwamanga unaanza Novemba Mosi, 2011 kutumikia nafasi yake. Hata hivyo, kabla ya uteuzi huo Mwamanga alikuwa …