Wanaharakati, viongozi wa dini: Wahofu Rais ajaye kuwa dikteta

WAUNGANA KUMDHIBITI VIONGOZI wa madhehebu mbalimbali ya dini nchini na wanaharakati wameonya kuwa kuna kila dalili kwamba mtu atakayemrithi Rais Jakaya Kikwete atakuwa na hulka za kidikteta, hivyo wakataka Watanzania kuandaa mbinu za kumdhibiti mapema.Angalizo hilo lililotolewa na viongozi wa Baraza Kuu la Waislamu wa Tanzania (Bakwata), Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Chama cha Wanataaluma Katoliki (PCT), Jumuiya ya …

Lema awaita wafuasi wa Chadema gerezani

MBUNGE wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema ambaye yuko mahabusu, amewataka wafuasi wa chama hicho kumtembelea gerezani kwa wingi leo ambayo ni siku ya kawaida ya kuona mahabusu, akiwataka wasiwe na hofu yoyote kufanya hivyo. Lema alituma ujumbe maalumu kwa wanachama wa chama hicho akiwataka kuwa watulivu na kumwunga mkono katika harakati zake alizoziita za kupigania haki, usawa na demokrasia …

Ijue chai ya Kichina inayoondoa sumu mwilini

WATAALAMU wa masuala ya afya wanasema katika vyakula na vinywaji mbalimbali tunavyokula na kunywa kila siku vingi vina kiasi fulani cha sumu ambazo mara nyingine huweza kuleta madhara mwilini. Kama hivyo ni kweli kwa mujibu wa wataalam wa masuala ya afya kila binadamu anakiasi fulani cha sumu ambacho anakipata kutokana na vyakula na vinywaji anavyokunywa. Ipo sumu ambayo tunaipata kutoka …

TWB-Benki inayohimiza matumizi ya ‘vibubu’

Na Mwandishi Wetu BENKI ya Wanawake Tanzania (TWB) ni miongoni mwa Taasisi za kifedha zinazoshiriki Maonesho ya Wajasiriamali Wanawake yanayoendele katika Viwanja vya Mnazi Mmoja. Inashiriki kwasababu ya kutangaza huduma zake mbalimbali inazozitoa kwa wateja wake na hasa wajasiriamali wanawake. Lakini miongoni mwa huduma inazozitangaza ni ya matumizi ya ‘kibubu’ kuhifadhia fedha kwa muda kabla ya kuziwasilisha benki muda muafaka. …

HIPZ kuiendeleza Hospitali Kivunge Zanzibar

Na Rajab Mkasaba, Ikulu Zanzibar MRADI wa Kuendeleza huduma za Afya Zanzibar (HIPZ), umeeleza azma yake ya kuangalia uwezekano wa kuiendeleza hospitali ya Kivunge iliyopo Mkoa wa Kaskazini Unguja ili ipate mafanikio kama ilivyo hospitali ya Makunduchi hivi sasa. Daktari Bingwa wa Upasuaji kutoka hospitali ya Tauton nchini Uingereza na Mwenyekiti Mwanzilishi wa Mradi wa Kuendeleza huduma za Afya Zanzibar …