Taifa Stars kuanza kambi kesho
Na Mwandishi Wetu TIMU ya Taifa (Taifa Stars) inaingia kambini Novemba 3, kujiandaa kwa mechi ya mchujo ya Kombe la Dunia dhidi ya Chad itakayochezwa Novemba 11 jijini N’Djamena. Kwa mujibu wa taarifa iliyolewa leo kwa vyombo vya habari toka TFF ni kwamba wachezaji wote wanatakiwa kuripoti kambini kesho, isipokuwa wale wanaocheza mpira wa kulipwa nje ya nchi ambao wataanza …
Dk. Mponda kuzindua maonesho ya sauti na picha kupambana na maambukizi ya Ukimwi
Na Magreth Kinabo– MAELEZO WAZIRI wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Haji Mponda anatarajiwa kuzindua Maonesho ya Sita ya Wazi kwa kutumia vifaa vya sauti na picha vyenye ubora wa hali ya juu vya Sony Corporation ili kutoa elimu na burudani katika kupambana na maambukizi wa virusi vya Ukimwi. Hayo yameelezwa leo na Dk. Amos Nyirenda wakati akizungumza na …
Serengeti Breweries yatumia mil 823 kudhamini Tusker Challenge
Na Joachim Mushi KAMPUNI ya Bia ya Serengeti Breweries Ltd (SBL) inayovuma kwa bia yake ya Tusker leo mchana huu imekabidhi hudi ya sh. milioni 823 kwa Shirikisho la Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) ikiwa ni kitita cha udhamini wa Mashindano ya CECAFA Tusker Challenge mwaka huu. Akizungumza katika hafla ya kukabidhi hundi hiyo, Mkurugenzi Mkuu wa SBL, Richard …
Kenya yaionya Al-Shabaab kupitia Tweeter
MSEMAJI wa Jeshi la Kenya kwa kutumia Twitter ameonya wakazi wa miji 10 nchini Somalia kuwa “watashambuliwa vikali, mfululizo”. Msemaji huyo Meja Jenerali Emmanuel Chirchir, ameiambia BBC kuwa miji hiyo – ni pamoja na Kismayo na Baidoa – ambayo ni ngome ya kundi la al-Shabaab. Taarifa kutoka Kenya zinasema Kenya imetuma wanajeshi nchini Somalia mapema mwaka huu, kwa sababu inalaumu …