SAIF al-Islam mtoto wa aliyekuwa kiongozi wa Libya Muammar Gaddafi hajaonekana hadharani tangu mwezi Agosti. Waendesha mashtaka wa kimataifa wamekuwa na “mawasiliano yasiyo rasmi” na mtoto wa kiongozi wa zamani wa . Mahakama ya uhalifu ya Kimataifa (ICC) imesema watu wa kati wametumika katika mazungumzo hayo yasiyo rasmi na Saif al-Islam. Taarifa kutoka ndani ya Umoja wa Mataifa (UN) kwa …
HASHIM RUNGWE: NCCR-Mageuzi inahitaji mabadiliko
Na Alfred Lucas – Imechapwa 19 October 2011 HASHIM Spunda Rungwe hajachuja kwa tambo. Anatamba bado angali na maarifa ya uongozi adilifu. Akiwa ni mwana NCCR-Mageuzi aliyebeba bendera ya chama hicho kugombea wadhifa wa urais wa Tanzania uchaguzi mkuu uliopita wa Oktoba 2010, anasema anafikiria kugombea uongozi wa juu katika chama. Haamini kama kuna mgogoro ndani ya NCCR-Mageuzi, lakini …
Reasons for depreciation of the Tanzania shilling stated
ECONOMISTS say there are many reasons why the Tanzania shilling has been depreciating relentlessly over the past four years as indicated in recent Delloitte&Touche report on the East African economies.According to economists who spoke to Business Times at the 35th Dar es Salaam International Trade Fair (DITF) at the Mwalimu Nyerere show grounds this week, one of the main reasons …
Nape ajikoroga, aitwa mahakamani Arusha
Na Janeth Mushi, Arusha MAHAKAMA Kuu Kanda ya Arusha imemuita Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye kufika na kutoa ushahidi juu ya madai yaliyotolewa mahakamani hapo. Jaji Aloyce Mujulizi ambaye anasikiliza kesi ya kupinga matokeo ya Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema(CHADEMA) jana mjini hapa aliamuru kiongozi huyo kuitwa mahakamani pamoja na Mhariri wa …
SPEECH BY HON. WILLIAM M. NGELEJA (MP), MINISTER FOR ENERGY AND MINERALS AT THE SIGNING CEREMONY OF TWO PRODUCTION SHARING AGREEMENTS FOR PETROLEUM EXPLORATION IN THE NYUNI AND RUKWA AREAS ON 27TH OCTOBER, 2011.
The Chief Executive officer of Aminex Plc, Mr. Brian Hall; The Managing Director of Heritage Oil Plc, Julian Heawood; The Chairman of the TPDC Board of Directors, Rtd. General Robert Mboma; The Acting Commissioner for Energy and Petroleum Affairs, Mr. Prosper Victus; The Managing Director of TPDC, Mr. Yona S. M. Killagane; Invited Guests; Ladies and Gentlemen. First and foremost …
Picha Za Mchuano wa Kandanda Siku ya Uhuru wa Uganda 2011
Timu ya Bongo Starz ilijumuika na timu za Uganda, Kenya, na Elitrea kwenye mashindano ya kusheherekea siku ya uhuru wa Uganda (Octoba 9, 2011) ndani ya jiji la Los Angeles, Marekani. Timu ya Bongo Starz ilifanya vizuri sana katika mashindano hayo kwa kufika fainali. Kwa mbinde kubwa Elitrea ilinyakua kombe kwa ushindi wa bao 2 – 1 dhidi ya Bongo Starz. …