TAKRIBANI tani 82 za shehena ya madini yaliokamatwa na Polisi wa Rwanda yanarudishwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) ikiwa ni jitihada za kuimarika kwa uhusiano kati ya nchi hizo mbili. Madini hayo ni pamoja na yale ya cassiterite, bati na vile vile coltan, ambayo hutumiwa kujenga vifaa kama vile simu za mkononi. Kurejeshwa vifaa hivyo kunafuatia sheria za kimataifa …
Man City yaua, yailaza Villareal
WAKATI Man United wakisumbuliwa na Otelul Galati, mahasimu wao Man City walikuwa wakiwafunza mpira Villareal nyumbani kwa Uhispania. Yaya Toure aliipatia Manchester City magoli mawili na kuiongezea matumaini ya kusonga mbele katika michuano hiyo ya Klabu Bingwa Bara la Ulaya. Ingawa Man City walikuwa wanacheza kama watu walio uwanjani kwao wakifanya mazoezi, lakini walitoka uwanjani wakiwa na hofu baada ya …
Rwanda warejesha madini ya wizi Kongo DRC
TAKRIBANI tani 82 za madini yaliokamatwa na polisi wa Rwanda yanarudishwa Jamhuri ya Kidemocrasia ya Congo (DRC) ikiwa ni juhudi za kuimarika uhusiano kati ya nchini hizo mbili. Madini hayo ni pamoja na yale ya cassiterite, bati na vile vile coltan, ambayo hutumiwa kujenga vifaa kama vile simu za mkononi. Kurejeshwa vifaa hivyo kunafuatia sheria za kimataifa zinazonuiwa kusafisha sekta …
Serengeti Breweries yazindua kampeni za tutashinda
Na Joachim Mushi KAMPUNI ya Bia ya Serengeti (SBL) kupitia kinywaji chake cha Serengeti imezindua kampeni ya wananchi kuiunga mkono Timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ ya Tanzania ili kuwapa nguvu wachwzaji kuweza kufanya vizuri kwenye mashindano yanayokuja. Akizungumza na vyombo vya habari katika uzinduzi huo, Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano, Teddy Mapunda amesema kampuni ya SBL kama mdhamini mkuu wa …