BENDI maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya “Ngoma Africa band” aka FFU, yanye makao yake nchini Ujerumani, wameachia hewani CD mpya yenye nyimbo za miaka 50 ya Uhuru. Nyimbo zilizomo katika CD hiyo ni utunzi na uimbaji wake kiongozi wa bendi hiyo Kamanda Ras Makunja akiimba kwa uhakika zimetonya kuwa nyimbo hizo zimetua pia katika blog ya Michuzi. Vituo …
Taifa Stars kutembelea Makumbusho ya Taifa
TIMU ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) ambayo hivi sasa iko kambini kujiandaa kwa mechi dhidi ya Chad, kesho (Novemba 5 mwaka huu) saa 5 asubuhi itatembelea Makumbusho ya Taifa. Ziara yao ni ya kawaida, lakini pia kutakuwa na onyesho la Historia ya Soka Tanzania. Wachezaji ambao tayari wapo kambini hoteli ya New Africa ni Juma Kaseja, Godfrey Taita, Shabani …
Michuano ya Kombe la Uhai kuanza Novemba 12
MICHUANO ya kuwania Kombe la Uhai (Uhai Cup 2011) inayoshirikisha timu za pili (U20) za klabu zote 14 za Ligi Kuu ya Vodacom inatarajia kuanza Novemba 12 mwaka huu katika Uwanja wa Azam ulioko Chamazi, Dar es Salaam. Timu ya Taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 (Serengeti Boyz) itashiriki michuano hiyo inayodhaminiwa na kampuni ya Said Salim …
Shopping Festival to be held during Swahili Fashion Week 2011
If you would like to buy and sell anything from Swahili Fashion week 2011, you can definetily get It from the Shopping Festival during and After the event, SO IF YOUR INTERESTED TO HAVE PLACE TO SELL ANYTHING DURING THE SWAHILI FASHION WEEK EVENT PLEASE BOOK AND LEASE YOUR PLACE NOW. For more information please call: Hamis K Omary 0719252628 …
Serikali ya Tanzania yakataa ushoga
TANZANIA imesema ipo tayari kukosa misaada yote kutoka Serikali ya Uingereza na kamwe haiwezi kuruhusu sheria inayotambua mashoga na kuhalalisha ndoa za jinsia moja.Msimamo huo mzito wa serikali umekuja siku chache baada ya Waziri Mkuu wa Uingereza, David Cameron, kutamka kwamba nchi yake ina mpango wa kusitisha misaada yake kwa nchi ambazo sheria na katiba zao, hazitambui mashoga na ndoa …