Marcel Desailly: I have spent three enjoyable days…!
THEY say good things come in threes and if recent events are anything to go by, it seems that the saying is true! I have just spent three very enjoyable days at my sports facility in Accra, where I have had the immense pleasure of working alongside three absolute legends of African football – Rigobert Song, Jay Jay Okocha and …
Taifa Stars kuagwa leo New Africa Hotel
Na Mwandishi Wetu KIKOSI cha Timu ya Taifa kinachotarajiwa kuondoka nchini kesho Novemba 8, 2011 kinatarajiwa kuagwa rasmi leo jioni kwenye hoteli ya New Afrika. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo asubuhi na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), kupitia kwa Ofisa Habari wake, Boniface Wambura zinasema kikosi hicho kitaagwa rasmi leo jioni kwenye Hoteli hiyo ambayo ndipo kambi …
Bei ya petrol yapanda Tanzania
MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), imetangaza kupanda kwa bei ya mafuta kuanzia leo. Akizungumza Dar es Salaam jana, Mkuu wa Idara ya Uhusiano wa Ewura, Titus Kaguo alisema petroli imepanda kwa Sh49.17, dizeli Sh2.69 na mafuta ya taa yamepanda kwa Sh19.43. Kutokana na bei hizo mpya, petroli itauzwa kwa Sh2,043, dizeli Sh1, 983 na mafuta …
Mbatia apewa siku 21 kujieleza NCCR
HalmashauriI Kuu(NEC) ya Chama cha NCCR-Mageuzi, imempa Mwenyekiti wake, James Mbatia, siku 21 kujibu tuhuma zilizoelekezwa kwake na baadhi ya wanachama kwamba, ni pandikizi la Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndani ya chama hicho. Agizo hilo ni miongoni mwa maazimio kadhaa ya NEC yaliyofikiwa kwa kauli moja na idadi kubwa ya wajumbe wa halmashauri hiyo, katika kikao chake kilichofanyika jijini Dar …