Wanaoongoza kwa magoli Ligi Kuu Vodacom

TANZANIA FOOTBALL FEDERATION Vodacom Premier League (VPL) 2011/2012 TOP GOALS SCORES 1st ROUND NO JNO GOAL SCORERS GOALS TEAM HTR PNT 1 19 JOHN BOCCO 8 AZAM FC 0 2 2 26 KENNETH ASAMOAH 8 YANGA SC 0 0 3 11 GAUDENCE MWAIKIMBA 6 MORO UNITED 0 0 4 25 EMMANUEL OKWI 5 SIMBA SC 0 0 5 5 RAJABU …

Benki ya Posta yaisaidia JKT Ruvu

Na Joachim Mushi BENKI ya Posta Tanzania (TPB) imetoa msaada wa jezi na viatu jozi 3º pamoja na fedha taslimu sh. milioni 2 kwa ajili ya Timu ya Jeshi la Kujenga Taifa -JKT Ruvu (Ruvu Stars), ikiwa ni jitihada za kuiwezesha timu hiyo kufanya vizuri katika michezo yake ijayo. Misaada hiyo yenye thamani ya milioni 5 imekabidhiwa jana Makao Makuu …

MUVI yatoa mafunzo kwa waendesha Mashine za kukamua Mafuta ya Alizeti

Na Danstan Mhilu MUUNGANISHO wa Ujasiriamali Vijijini (MUVI) Mkoa wa Ruvuma umetoa mafunzo kwa waendesha mashine za kukamua mafuta ya alizeti mjini hapa. Mafunzo hayo yaliyofanyika Ofisi za Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO), huku miongoni mwa wanavikundi waliopata mafunzo hayo wakiwa ni wana vikundi wapatao 20. Awali akifungua mafunzo hayo Kaimu Meneja wa SIDO, Ruvuma, Athur Ndedya aliwasihi wana …

Dk. wa Michael Jackson matatani

DAKTARI binafsi wa Michael Jakson, Dk. Conrad Murray amekutwa na hatia ya kosa la mauaji bila kukusudia na Mahakama moja mjini Los Angeles, Marekani. Baraza la wazee wa mahakama – wanaume saba na wanawake watano – wametumia siku mbili kujadili kesi na kufikia hukumu hiyo. Taarifa zinazohusiana na kesi hiyo zinasema Michael Jackson alifariki Juni 25 mwaka 2009 kutokana na …

Taifa Stars yaagwa rasmi, Pinda awapa zawadi nono!

*Serengeti Breweries yazingua shamrashara za ushindi *TFF, BMT wawataka wachezaji kupigana kiume Na Joachim Mushi KIKOSI cha Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ jana kimeagwa rasmi jioni katika Hoteli ya New Africa jijini Dar es Salaam, sherehe iliyohudhuriwa na viongozi mbalimbali wa soka, michezo pamoja na wahariri wa vyombo anuai vya habari. Akizungumza na wachezaji kwa king’amuzi (TV), katika …