Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Balozi wa Shirikisho la Urusi (Russian Federation), Alexandra Alexandrovich Rannikh baada ya kukutana na kufanya mazungumzo Novemba 9, 2011, Ikulu jijini Dar es Salaam. Katikati ni mkalimani Nikita Rassokhin. Picha ya chini wakiagana baada ya mazungumzo. (Picha na Ikulu)
Tetemeko la ardhi laporomosha hoteli
KIKOSI cha waokoaji nchini Uturuki kinajaribu kuwaokoa manusura waliokwama katika vifusi vya majengo baada ya kutokea tetemeko la ardhi la kipimo cha 5.7 kwenye Mji wa Van, Kaskazini mwa nchi hiyo. Majengo kadhaa yameporomoka wakati tetemeko hilo limetokea, ikiwemo hoteli moja la ghorafa sita. Taarifa zinasema takriban wafanyakazi 100 wa kutoa misaada na waandishi wa habari wanaaminika walikuwa wanaishi katika …
Bluekey Software Solutions open branch in Tanzania
BLUEKEY Software Solutions, dealing with SAP Business One, business management software solutions for small and medium sized companies has launched its branch in Dar es Salaam Tanzania. Delivering the launching statement, at the Movenpic hotel in Dar es Salaam on Tuesday the Bluekey Group Managing Director, Dennis Marketos, said the new branch becomes the fifth full service office to its …