Mkurugenzi TCRA akanusha kutapanya fedha

Na Mwandishi wa Thehabari, Dodoama MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Profesa John Nkoma amepangua hoja kadhaa zilizowasilishwa na wajumbe wa Kamati ya Hesabu za Mashirika ya Umma (POAC) wakati wa vikao vyao. Katika ufafanuzi wake, Prof. Nkomo alisema fedha zaidi ya sh. bilioni 2.3 ambazo TCRA inadaiwa kutumiwa kwa ajili ya mafunzo ya wafanyakazi watatu pekee na …

Guinness Football Challenge results!

FREDY Jordan Ngulwa and George Joel Lukuba from Dar es Salaam, Tanzania, topped the GUINNESS® FOOTBALL CHALLENGE leader board for the second time last night as they became the first contestants to do the double. Fighting off tough competition from the other teams from Kenya, Tanzania and Uganda, the dynamic duo showed even more skill and knowledge and increased their …

Ellen Johnson Sirleaf ashinda uchaguzi Liberia

RAIS wa Liberia Ellen Johson Sirleaf amethibitishwa kuwa mshindi wa awamu ya pili ya uchaguzi uliosusiwa na upinzani, na ameahidi kuwanyooshea mkono wapinzani wake na kulipatanisha taifa hilo lililogawanyika Ushindi wa Sirleaf ulijulikana tangu awali baada ya mpinzani wake Winston Tubman, kujitoa kwenye kinyang’anyiro cha kuwania wadhifa huo wa rais na kuwaomba wafuasi wake waisusie awamu hiyo ya pili ya …

Pinda:Hata wanyama hawafanyi ushoga

Dodoma WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amezungumzia sakata la Uingereza kutishia kuinyima misaada Tanzania kama haitaruhusu ndoa za jinsia moja, akisema, “haiwezekani, kwa kuwa hata wanyama hawafanyi hivyo.” Alisema kama ilivyoelezwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, Tanzania ipo tayari kukosa misaada ya Uingereza iwapo kigezo cha kupata misaada hiyo, ni nchi kuruhusu ndoa za …

Wasichana 80 wa mimba za utoto wanolewa

JUMLA ya wasichana 80 waliopata mimba katika umri mdogo na kutelekezwa na wanaume kutoka Kata za Azimio, Mtoni, Vijibweni na Kibada wilayani Temeke wamepatiwa mafunzo ya Stadi za Maisha, Ujasiliamali na elimu ya VICOBA kutoka asasi ya ‘Poverty Fighting Tanzania na TEYODEN. Taarifa hiyo imetolewa jana na Katibu wa TEYODEN, Yusuph Kutegwa alipokuwa akizungumza na vyombo vya habari jijini Dar …