By KATHARINE HOURELD, Associated Press NAIROBI, Kenya — As Minhaj Gedi Farah lay silently on a hospital bed three months ago, even his mother had given up hope that the skeletal Somali baby would live. Weeks of intensive feeding, though, have transformed him into a chubby-cheeked infant who crawls. The is one of several stories highlighted Wednesday in an annual …
Katibu Tawala Ruvuma azindua mashine ya kukamua alizeti kwa Wana-vijiji
Na Dunstan Mhilu, Ruvuma KATIBU Tawala Mkoa wa Ruvuma, Dk. Aselm Tarimo juzi amezindua mashine za kukamua mafuta ya alizeti katika Kijiji cha Mtyangimbole Wilaya ya Songea Vijijini. Katika uzinduzi huo aliwataka wananchi wa kijiji hicho na vijiji vya jirani kuhakikisha wanaitumia vizuri mashine hiyo ili iweze kuwanufaisha kihuduma. “Mashine imeletwa kazi ni kwenu, …leteni alizeti yenu ikamuliwe mpate mafuta …
Pinda kuzindua ujenzi barabara ya Dodoma-Mayamaya
WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mizengo Pinda anatarajia kuwa mgeni rasmi katika sherehe za uzinduzi wa ujenzi wa barabara wa kilometa 43.h kwa kiwango cha lami kati ya Dodoma na Mayamaya. Kwa mjibu wa taarifa iliyotolewa na msemaji wa Wizara ya Ujenzi Martin Ntemo, sherehe hizo zitafanyika tarehe 12 Novemba, 2011 katika eneo la Veyula nje …
Waziri wa Uchukuzi awalaumu Wabunge wa Upinzani
Na Mwandishi Wetu, Dodoma WAZIRI wa Uchukuzi, Omar Nundu amewatupia shutuma baadhi ya wabunge wa kambi ya upinzani bungeni akidai kuwa wameagizwa na kampuni binafsi kuupinga mswada wake bungeni. Nundu alitoa kijembe hicho alipopata nafasi ya kuchagia upande wa Serikali kuwatoa wasiwasi baadhi ya wabunge juu ya mabadiliko katika sheria mpya kwenye Muswada wa Sheria ya Ununuzi wa Umma, uliyowasilishwa …
Taifa Stars yawapa raha Watanzania, yashinda 2-1 ugenini
MCHEZO wa maadalizi ya kufuzu mechi za makundi kuelekea fainali za kombe la Dunia kati ya Taifa Stars ya Tanzania na Timu ya Taifa ya Chad umemalizika muda mfupi uliopita na Tanzania kuibuka mshindi. Katika mchezo huo uliofanyika Uwanja wa Idriss Mahamat Ouya mjini N’Djamena, Stars imefanikiwa kushinda mabao mawili kwa moja la Chad. Kwa mujibu wa taarifa ambazo mtandao …