Serikali mpya nchini Ugiriki yaapishwa

BARAZA jipya la mawaziri katika Serikali ya mpito limeapishwa likiongozwa na Waziri Mkuu mpya, Lucas Papademos. Waziri mkuu huyo aliyechaguliwa, alitangaza kuwa Serikali mpya itajitahidi kukabiliana na matataizo ya nchi hiyo. Lucas Papademos. Katika uteuzi mpya wa Baraza la Mawaziri, mwanasiasa Evangelos venizelos anasalia kuwa waziri wa fedha pamoja na kuwa Naibu Waziri Mkuu. serikali hiyo mpya ya mseto inajumuisha …

Vurugu kubwa mkoani Mbeya

Polisi, Wamachinga wakabiliwa, Kandoro asema mapambano ni magumu JIJI la Mbeya jana liligeuka uwanja wa vita. Milio ya mabomu, risasi vilitawala sehemu kubwa ya jiji hilo na kusababisha watu kadhaa kujeruhiwa huku kituo kimoja cha polisi kikichomwa moto na magari kadhaa hali iliyosababisha huduma karibu zote kusimama kwa muda mrefu.Vurugu hizo zilitokana na operesheni iliyofanywa na askari wa Jiji la …

Stars yaizima Chad jijini N’Djamena

Na Mwandishi Wetu, N’Djamena-Chad KOCHA wa Taifa Stars, Jan Poulsen amepata ushindi wake wa kwanza ugenini tangu alipochukua timu hiyo kutoka kwa Mbrazil Marcio Maximo, Agosti mwaka jana baada ya kuifunga Chad mabao 2-1 katika mechi ya kwanza ya mchujo ya makundi ya fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika mwaka 2014 nchini Brazil. Ikicheza kwa mara ya kwanza nchini Chad, …

The Smartest Animals On Earth

In the diversity of living things on Earth there are some species whose intelligence is hard to argue about. A human is on the top of the list, after the human this is how the list looks like. Have you ever wondered why dolphins and other cetaceans are the star attraction at most aquariums? It’s because they’re smarter than almost …