Rais Kikwete: Walimu wa Tanzania wanauwezo mkubwa wa kufundisha Kiingereza
Na Mwandishi Maalumu RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete amesema kuwa walimu wa Tanzania wanao uwezo wa kufundisha somo la Kiingereza vizuri kama wakiwezeshwa kwa kupatiwa vitabu vya kiada vilivyojaribiwa, tahiniwa na kupimwa (tried and tested text books) kwa ubora wake kama moja ya njia muhimu za kuinua kiwango cha elimu nchini. Aidha, Rais Kikwete amewataka wadau …
Hatimaye Mbunge Lema atoka gerezani
Na Mwandishi Wetu, Arusha MBUNGE wa Jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema (CHADEMA) ameachiwa huru kwa dhamana na Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Arusha leo baada ya kusota magereza kwa siku 14. Lema aliwasili mahakamani majira ya saa 3.15 na gari la Polisi namba PT. 1178 na kesi kuanza kusikilizwa saa 4 asubuhi. Mbele ya Hakimu Judith Kamala, Mwendesha …
Sharjah kuisaidia Zanzibar upatikanaji maji safi
Na Rajab Mkasaba, kutoka mjini Sharjah ZANZIBAR na Sharjah wamekubaliana kuanzisha ushirikiano katika utafiti wa vianzio vya maji vitakavyoihakikishia Zanzibar upatikanaji wa maji safi na salama ya kutosha kwa kwa miaka mingi ijayo. Makubaliano hayo yalifanyika katika mazungumzo kati ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shain pamoja na Kiongozi wa Sharjah, Sheikh Sultan …
Mbunge Machali amkinga Mbatia dhidi ya baridi kwa uzi wa buibui!!!
Na Muhibu Said Novemba 5, mwaka huu, Halmashauri Kuu (NEC) ya Taifa ya Chama cha NCCR-Mageuzi, ilifanya kikao jijini Dar es Salaam kwa lengo la kujadili ajenda moja maalum iliyohusu mpasuko ndani ya chama hicho. Ajenda ya kikao hicho ilitajwa na Katibu Mkuu wa NCCR-Mageuzi, Samuel Ruhuza, kwenye kikao hicho. Ajenda hiyo ilifuatia hatua ya Kamishna wa NCCR-Mageuzi …
Mgodi wa Bulyanhulu wachangia mil. 150 ujenzi wa shule, zahanati
Na Mwandishi Wetu Kahama MGODI wa dhahabu wa Bulyanhulu unaomilikiwa na kampuni ya African Barrick Gold (ABG) mwezi huu umechangia karibu sh. milioni 150 kwenye miradi ya elimu na afya iliyopo katika vijiji vinavyozunguka mgodi huo wilayani Kahama, Mkoa wa Shinyanga, mgodi huo umesema katika taarifa yake leo. Migodi minne inayomilikiwa na kampuni ya ABG nchini Tanzania — Bulyanhulu, North …