TIMU ya Taifa Stars ya Tanzania leo jioni imeshindwa kutumia vizuri uwanja wake wa nyumbani baada a kufungwa goli moja bila na timu ya Taifa ya Chad. Hata hivyo ushindi wa Chad haujaiathiri sana timu ya Taifa ya Tanzania kwani imefanikiwa kuingia katika michuano ya makundi kugombea fainali za Kombe la Dunia inayotarajia kuanza mwakani 2012 hapo baadaye. Stars imefanikiwa …
Tanzania yaongoza uwekaji alama ardhini Afrika
Na Anna Nkinda – Maelezo TANZANIA ni nchi ya kwanza Barani Afrika kuwa na mtambo mpya wa alama za upimaji wa ardhi ambapo jumla ya alama 740 zimewekwa nchi nzima kati ya hizo sita zinapima moja kwa moja kwa kutumia satellite. Hayo yamesemwa hivi karibuni na Mkurugenzi wa Upimaji na Ramani kutoka wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi …
Tanzania mwenyeji Mkutano wa upimaji Ardhi na Ramani
Na Anna Nkinda – Maelezo TANZANIA inatarajiwa kuwa mwenyeji wa mkutano wa 45 wa upimaji ardhi na ramani ambao utawahusisha Makatibu Wakuu wanaofanya kazi katika wizara zinazoshughulikia sekta ya ardhi kutoka nchi 18 Barani Afrika. Mkutano huo wa siku mbili ambao umeandaliwa na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kushirikiana na kituo cha Regional Center for Mapping …
Makocha wa Tanzania, Chad wataja vikosi vitakavyoanza leo
Na Mwandishi Wetu MAKOCHA wa Timu za Taifa la Tanzania na Chad wametaja vikosi vya wachezaji ambao muda mfupi ujao wataingia uwanjani katika mtanange wa marudiano ya mechi za kufuvu fainali za Kombe la Dunia. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Ofisa Habari wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Boniface Wambura kwa vyombo vya habari mapema leo-amesema tayari …
Chadema, NCCR Mageuzi wachafua hali hewa bungeni
WATOKA NJE KUSUSIA MUSWADA WA MABADILIKO KATIBA, SPIKA ASEMA MUSWADA UNAPOTOSHWA Dodoma, Dar WABUNGE wa Chadema na NCCR-Mageuzi jana walilitikisa Bunge baada ya kuungana kutoka nje ya ukumbi kupinga kile walichodai kuwa ni Spika wa Bunge, Anne Makinda kuwadharau kwa kuwanyima haki zao kwa mujibu wa kanuni.Wakati wabunge hao wakitoka bungeni kugomea muswada huo, Chama cha Majaji Wastaafu Tanzania (Tarja), …
Askofu amshauri Mswati III kuachia madaraka
KIONGOZI mwandamizi wa Kianglikana wa Swaziland, Askofu Meshack Mabuza, amemtaka Mfalme Mswati III kuachia madaraka ya kisiasa ili kutoa nafasi Serikali ya kidemokrasia nchini humo. Askofu Mabuza ameiambia BBC mfumo wa Serikali wa “mambo ya kale” unaofuatwa sasa umeiingiza nchi katika mgogoro mzito wa fedha na uchumi. Taarifa zinasema Serikali imekiri kuwa mishahara ya wafanyakazi wa Serikali itacheleweshwa mwezi huu …