JK atoa pole kwa maafa ya mvua Mwanza
Na Mwandishi wetu RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete ametuma salamu za pole kwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mheshimiwa Evarist Welle Ndikilo kufuatilia maafa yaliyosababishwa na mvua kubwa iliyonyesha jana ikiwa ni pamoja na kuumia kwa watu watatu, kubomoka kwa nyumba 57 na kuwaacha wakazi 100 wa Wilaya ya Ilemela Mkoani humo wakiwa hawana mahali …
Rigobert Song: IT must come as no surprise for me…!
IT must come as no surprise for me to tell you that I love football. It’s been my life for many years and it always will be, which is why I was such a big fan of the first series of TV’s Guinness Football Challenge . So to be asked to be a part of the show’s second season is …
Rais Kikwete apokea hati za mabalozi wa Ufaranza na Uswisi
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete Novemba 15, 2011, alipokea hati za utambulisho za mabalozi wapya watakaoziwakilisha nchi za Uswisi na Ufaransa katika Tanzania. Katika sherehe fupi iliyofanyika Ikulu, Dar es Salaam, Rais Kikwete amepokea hati za utambulisho kutoka kwa Balozi mpya wa Uswisi, Mheshimiwa Oliver Chave, na kutoka kwa Balozi mpya wa Ufaransa, Mheshimiwa Marcel Escure. …
Who will triumph on this week’s Guinness Football Challenge?
TANZANIA, Wednesday November 16th 2011 Make sure you tune into the Guinness Football Challenge this Wednesday November 9th 2011, as three new teams of passionate football fans step up to demonstrate their passion and potential in the definitive fan test. Hosts Larry Asego and Flavia Tumusiime will be introducing us to the teams who will all be hoping they scoop …