Na Mwandishi Wetu, Arusha JAJI wa Mahakama Kuu Kanda ya Arusha, Aloyce Mujulizi anayesikiliza kesi ya kupinga matokeo inayomkabili Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema (CHADEMA) ameonya vikali vyama vya siasa, watendaji wa vyama hivyo, vyombo vya habari pamoja na waandishi wa habari nchini kuingilia masuala yanayoendelea mahakamani. “Vyama vya siasa, watendaji wa vyama vya siasa, waandishi wa habari pamona …
Vijana Chadema watoa kauli nzito, kuandamana bila kikomo
Na Joachim Mushi BARAZA la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA) limepinga kitendo cha Bunge na Serikali kushinikiza muswada wa mchakato wa kuundwa kwa Katiba Mpya kusoma kwa mara ya pili bungeni, kwani bado unadosari kubwa. BAVICHA wametoa kauli hiyo leo jijini Dar es Salaam baada ya kumalizika kwa kikao cha kamati ya utendaji wa taasisi …
Tendwa atema cheche, ni juu ya vurugu za kisiasa
Na Magreth Kinabo – Maelezo MSAJILI wa Vyama Vya Siasa nchini, John Tendwa amevitaka baadhi ya vyama vya siasa, viongozi wa vyama hivyo, wanachama na washabiki wa vyama husika kuzingatia taratibu na sheria za nchi na nyinginezo zilizowekwa. Tendwa ametoa kauli hiyo leo Dar es Salaam kupitia taarifa yake kwa vyombo vya habari, kufuatia vurugu zilizojitokeza nchini ambazo zinasababishwa na …
SBL yaalika wadau kuunga mkono udhamini michezo
Na Mwandishi Wetu KAMPUNI wadhamini wakuu wa Kombe la Tusker Chalenji, Serengeti Breweries Ltd (SBL), kupitia kinywaji chake cha bia ya Tusker, imewataka wadau mbalimbali kujitokeza kusaidia juhudi za kukuza michezo nchini kwa kudhamini michezo. Changamoto hiyo imetolewa leo na Mkurugenzi wa Masoko wa SBL, Ephraim Mafuru alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari ofisi za TFF kuhusiana na mashindano ya …
Namibia yaingia michuano ya Chalenji
Na Mwandishi Wetu NAMIBIA itashiriki michuano ya Kombe la Chalenji itakayoanza Novemba 25 mwaka huu ikiwa timu mwalikwa baada ya Eritrea kujitoa. Akizungumza na vyombo vya habari Dar es Salaam leo Rais wa Shirikisho la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA), Leodger Tenga amesema Namibia inaingia moja kwa moja katika kundi A ambalo lina mabingwa watetezi Tanzania Bara, …