CECAFA TUSKER CUP 2011 25TH NOVEMBER- 10TH DECEMBER, TANZANIA Ratiba ya Mashindano ya Tusker DATE M. NO. TEAMS GROUP VENUE TIME Friday 25th Nov 2011 1 2 Burundi Vs Somalia Uganda Vs Zanzibar B B Dar Dar 2.00PM 4.00PM Sat 26th Nov 2011 3 Tanzania Vs Rwanda A Dar 4.00PM Sun 27th Nov 2011 4 5 Namibia Vs Djibouti Zanzibar …
First Kenyan winners on the Guinness Football Challenge
JOSEPH Mwangi and Fenton Odhiambo from, Dar es Salaam became the first Kenyan winners on the Guinness Football Challenge last night. Fighting off tough competition from the other teams from Tanzania and Uganda, as well as the two-time-winners from last week’s show, the dynamic duo showed great skill and knowledge to win big cash prizes in the not-to-be-missed TV game …
Rais Kikwete kunzungumza na Wananchi leo
Na Mwandishi Wetu RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete kesho, Novemba 18, 2011, anatarajia kuzungumza na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam. Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu leo kwa vyombo vya habari katika mkutano huo Rais atautumia pia kuzungumza na taifa zima kutoka Ukumbi wa PTA, Viwanja …
Watakiwa kuthamini madini ya uranium
Na Magreth Kinabo – Maelezo WATAALAMU na wadau anuai wa madini ya uranium wametakiwa kutathimini matumizi bora ya madini hayo kwa manufaa ya nchini. Kauli hiyo imetolewa leo na Jaji mstaafu Mark Bomani, wakati akizungumza na waandishi wa habari katika kongamano la urani uliofanyika kwenye hoteli Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam, ambaye alikuwa mgeni rasmi. “Madini haya ni muhimu …