Papa Benedicto 16 awasili nchini Benin

PAPA Benedict amewasili nchini Benin kwa ziara ya siku tatu katika Taifa hilo la Afrika ya magharibi. Ziara hii ni ya pili barani Afrika na ameifanya Benin ambako kuna ongezeko kubwa la waumini wa dini ya Katolika kuliko sehemu nyingine duniani. Ingawa kuna ongezeko la waumini wa dini hiyo nchini Benin, wakaazi wengi wa nchi hiyo hufuata imani ya kale …

WaterAid yatoa semina kwa wanahabari juu ya umuhimu wa vyoo

Na Joachim Mushi TANZANIA inapoteza zaidi ya watoto 928 walio chini ya umri wa miaka 5 ambao wanakufa kutokana na magonjwa ya kuhara ambayo kwa kiasi kikubwa huchangiwa na idadi kubwa ya wananchi kutokuwa na vyoo na kutumia vyoo ipasavyo. Kwa mujibu wa utafiti uliofanyika mwaka 2006 nchini umebaini takribani watoto 928 upoteza maisha kutokana na magonjwa ya kuhara, yanayochangiwa …

Tenga kuhitimisha kozi ya makocha wa CUF kesho

RAIS wa TFF, Leodegar Tenga kesho atafunga kozi ya ukocha kwa ajili ya kupata leseni za daraja C kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) iliyofanyika kuanzia Novemba 7 mwaka huu. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Dar es Salaam na Ofisa Habari wa TFF, Boniface Wambura ni kuwa shughuli za ufungaji wa kozi hiyo iliyoshirikisha makocha 30 utafanyika …

20 waitwa kuunda timu ya Taifa ya Vijana

KOCHA Mkuu wa timu za Taifa za vijana, Kim Poulsen ametangaza kikosi cha wachezaji 20 wa timu ya Taifa kwa vijana chini ya miaka 20 (Ngorongoro Heroes) kitakachoshiriki michuano ya umri huo ya Baraza la Vyama vya Mpira wa Miguu Kusini mwa Afrika (COSAFA). Michuano hiyo itafanyika Gaborone, Botswana kuanzia Desemba 1-10 mwaka huu ikishirikisha timu za mataifa 11 wanachama …

African Barrick Gold Announces Cross-listing on Dar es Salaam Stock Exchange

LONDON / DAR ES SALAAM, ABG is pleased to announce that it has received the approval from the Capital Markets & Securities Authority of Tanzania (“CMSA”) and the Dar es Salaam Stock Exchange (“DSE”) for an introduction of its ordinary shares to the Official List of the DSE. As part of the listing process, ABG has prepared an information memorandum …

EU, Marekani wajitosa mgogoro wa Katiba

WAKUTANA NA OFISI YA SPIKA, UPINZANI BUNGENI DODOMA MVUTANO baina ya wabunge wa Chadema na NCCR Mageuzi kwa upande mmoja dhidi ya Serikali na wabunge wa CCM kwa upande mwingine, umevuta nchi wahisani ambao wametuma maofisa wake mjini Dodoma kuchunguza kiini cha mvutano uliopo. Ujumbe wa maofisa watano ukiongozwa na Balozi wa Sweden nchini, Lennart Hjelmaker ulifika katika Ofisi ya …