Makandarasi daraja la Kigamboni wakagua eneo la ujenzi

Na Mwandishi Wetu JUMLA ya makandarasi saba waliopita katika mchakato wa awali wa kumpata mkandarasi atakayeshinda zabuni ya ujenzi wa Daraja la Kigamboni wamefanya ziara ya ukaguzi wa eneo la ujenzi. Mtaalam Mshauri kutoka Kampuni ya Arab Consulting Engineers (ACE), Mhandisi Mohamed Shaeb aliongoza ziara hiyo iliyokuwa na lengo la kuwapa maeleza ya kitaalamu wakandarasi hao juu ya maudhui ya …

Muswada uliogomewa na wabunge wa upinzani wapitishwa

Na Mwandishi wa dev.kisakuzi.com, Dodoma HATIMAYE Bunge limepitisha muswada wa Sheria wa Kuunda Tume ya Mabadiliko ya Katiba ambao hata hivyo wabunge wa vyama vya upinzani vya CHADEMA na NCCR-Mageuzi waligoma kuujadili na kutoka nje ya Bunge hadi jana ulipopitishwa. Hatua ya kupitishwa kwa muswada huo ilifikiwa jana baada ya Spika wa Bunge, Anne Makinda kuwahoji wabunge hatua ya kupitisha …

Rais Kikwete asema Tanzania itafanya Uchaguzi Mkuu 2015 chini ya Katiba Mpya

Na Joachim Mushi RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete amesema atahakikisha nchi inafanya unyaguzi mkuu ujao ikiwa na katiba mpya inayokidhi hali ya mabadiliko ya sasa. Amewataka wananchi na wadau wengine katika makundi yao wajiandae kutoa maoni yao katika mchakato wa uundaji katiba mpya pale utakapo kamilika. “Lengo letu ni kuwa ifikapo mwaka 2014 zoezi zima liwe …

Nukuu ya leo; ‘Akutukanae hakuchagulii tusi’

JUZI Bungeni msemaji wa kambi ya upinzani, katika mjadala wa Muswada wa Kuunda Tume ya Kukusanya Maoni alisema Rais ni dikteta. Ama kweli “akutukanae hakuchagulii tusi” kama ulivyo msemo wa Kiswahili. Hivi mimi kweli ni dikteta? Kwa jambo lipi? Hivi ndugu zangu Rais dikteta anatoa uhuru mkubwa kama uliopo sasa wa vyombo vya habari na wa watu kutoa maoni yao? …