Mtoto wa Gaddafi akamatwa, ICC yamnyemelea

SERIKALI ya muda ya Libya imesema kuwa Saif al-Islam Gaddafi, mtoto wa kiongozi wa zamani wa nchi hiyo, amekamatwa. Waziri wa Sheria wa Serikali ya mpito, Mohammed al-Allagi, alisema kuwa Saif al-Islam alikamatwa karibu na Mji wa Ubari, kwenye Jangwa la Kusini-Magharibi mwa nchi. Inaarifiwa akijaribu kufika Niger, nchi ya jirani, ambako kaka ake mmoja amepewa hifadhi. Watu walisherehekea katika …

HOTUBA YA MIZENGO PINDA, AKIAHIRISHA MKUTANO WA TANO WA BUNGE LA TANZANIA DODOMA, NOV. 19, 2011

UTANGULIZI Mheshimiwa Spika, 1. Kwanza kabisa napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu, mwingi wa Rehema kwa kutufikisha salama siku ya leo tunapohitimisha Mkutano wa Tano wa Bunge lako Tukufu ulioanza tarehe 08 Novemba 2011. Tuna kila sababu ya kumshukuru kwa kuwa tumetekeleza majukumu yote yaliyopangwa kwenye Ratiba kwa Amani, Utulivu na Ufanisi Mkubwa. Ninawashukuru Waheshimiwa Wabunge wote, kwa kuwa, kwa pamoja tumefanikisha …

Bunge lamtia hatiani Jairo, lataka Ngeleja na Luhanjo pia wawajibishwe

Na Mwandishi Wetu, Dodoma WAKATI Mkutano wa tano wa Bunge ukiairishwa mjini Dodoma jana, Kamati Teule ya Bunge iliyoundwa kumchunguza Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, David Jairo imeibua madudu makubwa yaliofanyika chini yake hivyo kamati kushauri achukuliwe hatua. Pamoja na ushauri huo kamati pia imependekeza Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja, Katibu Mkuu Kiongozi-Ikulu, Philemon Luhanjo …

Maandalizi ya Tusker Chalenji yaendelea kushamiri

Na Joachim Mushi KAMPUNI ya Bia ya Serengeti Breweries Ltd (SBL) imesema inajisikia faraja kuendelea kudhamini mashindano ya mpira wa miguu kwa timu ya Tanzania kwani, lengo ni kuhakikisha inazipa uzoefu timu ili ziweze kufanya vizuri katika mashindano ya Kombe la Dunia hapo baadaye. Kauli hiyo imetolewa leo jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi wa Masoko wa SBL, Phraim Mafuru …