Na Anna Nkinda – Maelezo TAASISI ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) kwa kushirikiana na Family Health International (FHI)-Pamoja Tuwalee wamewafikia watoto zaidi ya 43,000 wanaoishi katika mazingira hatarishi mikoa ya Dar es Salaam, Pwani, Morogoro na Zanzibar. Taarifa hiyo imetolewa hivi karibuni na Mkurugenzi wa Mradi wa FHI Pamoja Tuwalee, Priskila Gobba wakati akizungumza na wawakilishi wa sekta binafsi katika …
Bondia Ramadhan Nassib kuzichapa na mkenya
BONDIA wa ngumi za kulipwa nchini, Ramadhan Nassib, anatarajia kupanda ulingoni kuzichapa na mpinzani wake Antony Kariuki wa Kenya, katika pambano la maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru litakalopigwa kwenye Ukumbi wa DDC Keko Dar es Salaam, Desemba 9 mwaka huu. Akizungumza Mratibu wa pambano hilo, Pius Aghaton, alisema kuwa pambano hilo linatarajiwa kuwa na upinzani mkali kutokana na rekodi …
Mashindano ya Kombe la Uhai yaingia Robo Fainali
MICHEZO ya vijana wenye umri chini ya miaka 20 kwa klabu za Ligi Kuu ya Vodacom imeingia hatua ya robo fainali ambayo itachezwa kesho (Novemba 21 mwaka huu) kwenye viwanja vya Karume na Azam ulioko Chamazi. Oljoro JKT na Simba zitapambana saa 3 kamili asubuhi kwenye Uwanja wa Karume wakati katika muda huo huo kwenye Uwanja wa Azam kutakuwa na …