Uchaguzi wa viongozi Cecafa kufanyika Dar
Na Mwandishi Wetu UCHAGUZI wa viongozi wa Baraza la Vyama vya Mpira wa Miguu Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) utafanyika Novemba 24 mwaka huu jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo jijini Dar es Salaam na TFF, Mwenyekiti wa sasa Leodegar Tenga ambaye pia ni Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) anatetea nafasi yake. …
Dr. Bilal asks MPs support, pass envisaged National AIDS Fund Bill
THE Vice-President of the United Republic of Tanzania Dr. Mohammed Gharib Bilal has called on parliamentarians to support the government move to create the National AIDS Fund by passing it when the Bill will come before the House for discussion and approval. The Vice-President made the request when officiating the 10th anniversary of the Tanzania Parliamentarian AIDS Coalition (TAPAC) in …
Watanzania waishio Ujerumani waanza sherehe za miaka 50 ya Uhuru
Shangwe kuanzia Munchen hadi Berlin WATANZANIA waishio nchini Ujerumani wanaanza kusherehekea miaka 50 ya uhuru wa Tanzania Bara kwa vishindo na shangwe zisizo na mfano. Mambo yataanza siku ya Jumamosi, Desemba 3 mwaka huu ambapo Ngoma Africa Band itafanya onesho lake kuzindua mjini München, mtaa wa Siebold Str, 11, majira ya saa 10 alhasiri. Na usiku bendi hiyo maarufu ya …
WAMA yabainisha inavyowasaidia yatima kielimu
Na Anna Nkinda – Maelezo JUMLA ya watoto yatima 537 wamefaidika na ufadhili wa masomo ya elimu ya Sekondari kwa miaka minne unaotolewa na Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) inayoongozwa na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete. Hayo yamesemwa hivi karibuni na Katibu Mtendaji wa Taasisi hiyo, Daud Nasibu wakati akifanya mazungumzo na wawakilishi wa sekta binafsi katika mkutano …