Na Mwandishi Wetu BENKI ya NIC Tanzania kwa kushirikiana na Klabu ya Lions ya Jijini Dar es Salaam wamejitokeza kudhamini mashindano ya mchezo ya Gofu ili kusaidia watu wenye matatizo ya macho. Katika mashindano hayo benki hiyo imetoa jumla ya Dola za Kimarekani 2000 sawa na sh. milioni 3.5 za Tanzania lengo likiwa ni kuinua afya za wananchi hususani wanaosumbuliwa …
Waambukizaji ukimwi wapungua kwa kasi
SHIRIKA UNAids limesema vifo vinavyotokana na maradhi ya Ukimwi vimepungua sana kufikia mwaka 2005 na kushuka kwa asilimia 21. Ripoti ya mwaka huu ya UNAids inabainisha kuwa mwaka 2010 idadi ya maambukizi mapya ya HIV imefikia asilimia 21 ikiwa ni idadi iliyoshuka ikilinganishwa na ile ya mwaka 1997. Shirika hilo limesema kuwa kushuka kwa uwambukizaji kumechangiwa na kupanuliwa na kurahishishwa …
Mambo mabaya Misri; 20 wauwawa, wengine wajeruhiwa
WATU 20 wameuwawa na wengine zaidi kujeruhiwa kufuatia vurugu kati ya waandamanaji na vikosi vya usalama nchini Misri, katika uwanja wa Tahrir mjini Cairo huku uongozi wa kijeshi ukisema kadhia hiyo haitovuruga uchaguzi. Vikosi vya usalama vilitumia mabomu ya kutoa machozi na risasi kuzuia waandamanaji waliotaka kudhibiti boma lililopo karibu na Wizara ya Mambo ya Ndani. Mamia ya waandamanaji katika …
KCB Tanzania yaomba wanafunzi wawezeshwe kiubunifu
Na Mwandishi wetu, Mwanza BENKI ya KCB Tanzania imeiomba serikali kuongeza vifaa vya kufundishia katika shule anuai nchini ili kuwawezesha walimu nchini kuibua vipaji tofauti vya ubunifu walivyonavyo wanafunzi. Hayo yalisemwa na Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mahusiano wa KCB Tanzania, Christine Manyenye hivi karibuni wakati akikabidhi msaada wa vitabu vya masomo ya Sayansi vyenye thamani ya shilingi Milioni …
Kamati ya Maadili CCM yakutana; Ilichojadili ni Siri, siri, Siri!
Na Mwandishi Wetu, Dodoma WAKATI mbambo si shwari ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kamati ya Maadili jana imekutana kwenye kikao cha siri Makao Makuu ya chama hicho chini ya Mwenyekiti wake Rais Jakaya Kikwete kujadili masuala kadhaa. Vyanzo vya habari vya mtandao huu vinabainisha kuwa Kikwete aliwasili makao makuu kwenye vikao hivyo saa tano ambapo aliendelea na vikao na …
Wasanii kutoa burudani pambano la Maugo na Toll
Na Mwandishi Wetu WASANII mbalimbali nchini wanatarajiwa kutoa burudani katika pambano la mchezo wa ngumi lisilo na ubingwa litakalowakutanisha bondia, Mada Maugo na mpinzani wake Suleimani Saidi ‘Toll’ Desemba 18 mwaka huu katika Ukumbi wa Mzalendo Pub Kijitonyama Jijini Dar es Salaam. Akizungumza na burudani Rais wa shirikisho la ngumi za kulipwa nchini (PST), Emanuel Mlundwa alisema, maandalizi kwa ajili …