Who will triumph 0n this week’s Guinness Football Challenge

DON’T miss this week’s episode of the Guinness Football Challenge this Wednesday November 23rd 2011, 9:00pm as three new teams of passionate football fans step up to demonstrate their passion and potential in the definitive fan test. Hosts Larry Asego and Flavia Tumusiime will be introducing us to the teams who will all be hoping they scoop the big cash …

Serikali ‘yambana’ mwekezaji Kahama Mining

Waziri Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Profesa Anna Tibaijuka(kushoto) akizungumza jana jijini Dar es Salaam na waandishi wa habari kuhusu Serikali kutokuwa tayari kuachia maeneo ya wazi ya Oyster bay kwa mwekezaji wa Kahama Mining. Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Patrick Rutabanzibwa. (Picha na Tiganya Vincent, Dar es Salaam)

Mbowe, Lisu chupu chupu kukamatwa!

Na Mwandishi Wetu, Arusha MWENDESHA Mashitaka wa Serikali Wakili Haruni Matagane, katika kesi inayomkabili Mwenyekiti na Katibu wa Chama Cha demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki na wafuasi wao 25 jana ameiomba mahakama kutoa hati ya kukamatwa kwa Mwenyekiti na Mbunge huyo kwa kile kutofika mahakamani. Hata hivyo Mahakama ilipuuza ombi Matagane baada ya wakili wa …

Misri kwachafuka; Mawaziri wajiuzulu

BARAZA la mawaziri nchini Misri limeomba kujiuzulu kufuatia maandamano ya siku tatu mfululizo kupinga watawala wa kijeshi nchini humo, Televisheni ya Taifa nchini huo imeripoti. Hata hivyo Msemaji wa Baraza la Mawaziri, Mohammed Hegazy amesema pamoja na uamuzi wao bado ombi lao la kujiuzulu halijakubaliwa na Baraza la Kijeshi linalotawala Misri. Wakati taarifa hizo zikitoka, maelfu ya waandamanaji wameendelea kufika …

Katiba: Chadema yataka kukutana na Kikwete

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeunda kamati ndogo ya watu sita kwa ajili ya kwenda kuonana na Rais Jakaya Kikwete kuwasilisha madai yake juu ya Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Katiba wa mwaka 2011, uliopitishwa bungeni juma lililopita. Kamati hiyo imeundwa katika mkutano wa dharura wa Halmashauri Kuu ya chama hicho, uliofanyika Dar es Salaam juzi ili kukutana …