Na Mwandishi Wetu CHAMA cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) leo kimewakutanisha wahariri kutoka vyombo mbalimbali vya habari nchini kujadili ukatili wa kijinsia kwa jamii. Hatua hii ni moja ya programu ya Kihistoria ya Siku 16 za wanaharakati kupinga ukatili wa kijinsia kwa jamii ambayo ilianzishwa tangu mwaka 1991 na Kituo cha Kimataifa cha Wanawake katika Uongozi (Centre for …
CECAFA TUSKER CHALLENGE CUP 2011 DEDICATES TOURNAMENT TO FIGHT AGAINST MALARIA
CECAFA and Tusker partner with United Against Malaria to bring life-saving messages to football fans of Central and East Africa Dar es Salaam, November 23 – For the second consecutive year, the CECAFA Tusker Challenge Cup has joined United Against Malaria (UAM) to shine a spotlight on the fight against malaria in East and Central Africa, where the disease kills …
Kliniki ya wanahabari watakaoripoti Mashindano ya Tusker Chalenji yafunguliwa
Na Mwandishi Wetu WANAHBARI maalumu watakao ripoti Mashindano ya Kombe la Tusker Chalenji wameanza kunolewa leo jijini Dar es Salaam kwa ajili ya maandalizi ya mashindano hayo. Akizungumza leo wakati akifungua Kliniki hiyo Katibu Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Mpira wa Miguu Afrika Mashariki na Kati (CECAFA), Nicholas Musonye alisema vyombo vya habari ni nyenzo muhimu katika utoaji wa …
Samuel Eto’o kuhojiwaikabili Kamati ya Nidhamu
TAARIFA za kimichezo sinasema mzozo juu ya malipo ulisababisha Cameroon kufuta mchezo wake wa kirafiki dhidi ya Algeria. Wachezaji hao wawili wanatazamiwa kufika mbele ya kamati hiyo siku ya Alhamisi, lakini huenda wakaomba shauri lao liahirishwe na kutaka maafisa wa Fecafoot waliohusika nao waitwe mbele ya kamati hiyo ya nidhamu. Mzozo ulizuka baada ya timu hiyo kucheza mechi mbili dhidi …
Jeshi lakubali matakwa ya waandamanaji Misri
WATAWALA wa kijeshi nchini Misri wamekubali kuharakisha mchakato wa uchaguzi wa Rais, jambo ambalo waandamanaji waliokita kambi katika medani ya Tahrir wametaka lifanyike kwa haraka. Mkuu wa Utawala wa Kijeshi, Mohamed Hussein Tantawi alisema katika Televisheni ya taifa kuwa uchaguzi huo utafanyika mwezi Julai mwaka 2012. Alisema uchaguzi wa wabunge unaotarajiwa wiki ijayo utaendelea kama ilivyopangwa na kura ya maoni …