Lori lagonga magari saba, laua na kujeruhi Dar es Salaam

SIMANZI na majonzi jana vilitawala eneo la River Side, Dar es Salaam baada ya ajali mbaya iliyohusisha lori la mafuta na magari mengine madogo saba kusababisha vifo vya wawili papo hapo na wengine wanne kujeruhiwa vibaya. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Charles Kenyela alisema ajali hiyo ilitokea majira ya saa saba mchana na kwamba maiti na majeruhi wote walipelekwa …

Asasi za Kiraia zilizofanya vizuri zapewa tuzo

Na Joachim Mushi MKURUGENZI wa Asasi za Kiraia nchini (The Foundation for Civil Society), John Ulanga amesema utaratibu wa kutoa tuzo kwa asasi za kiraia zinazofanya vizuri zaidi katika utekelezaji miradi yao umechochea uwajibikaji na utendaji kwa asasi nyingi. Ulanga alitoa kauli hiyo jana usiku jijini Dar es Salaam katika hafla ya kuzizawadia asasi za kiraia zilizofanya vizuri kwa utekelezaji …