TAKRIBANI watu watatu wameuawa katika shambulio mashariki mwa Kenya na zaidi ya watu 27 wamejeruhiwa kwenye shambulio la guruneti katika mji wa Garissa, karibu na mpaka wa Somalia. Awali, mwanajeshi wa Kenya aliuawa katika mlipuko wa bomu katika mji wa mpakani wa Mandera. Wanajeshi wa Kenya wako nchini Somalia tangu mwezi Oktoba kukabiliana na waasi wa kundi la al-Shabab ambao …
HABARI njema Aspirini huepusha saratani
WATAALAMU wa tiba wameshauri kua watu ambao afya yao inakabiliwa na uwezekano wa kukumbwa na saratani ya kibofu, wapewe dozi ya aspirini. Jarida linalochapisha habari za utafiti wa wataalamu ”The Lancet” limearifu kua tembe mbili kwa kila siku zilipunguza saratani ya kibofu kwa asili mia 63% kati ya kundi la wagonjwa 861. Profesa Sir John Burn wa Chuo kikuu cha …
Miaka mitano Jela kwa upenzi wa jinsia moja
WANAUME watatu nchini Cameroon wamehukumiwa miaka mitano jela kwa kufanya mapenzi ya jinsia ambavyo ni kinyume na sheria za taifa hilo lililo Afrika ya kati. Watuhumiwa wawili walikuwa mahakamani katika mji mkuu Yaounde, lakini mtu wa watu alihukumiwa akiwa hayupo. Polisi walisema watu hao walikamatwa kwa kukutwa wakifanya mapenzi kwenye gari. “Inatisha na ni uamuzi usiokubalika,” Mwanasheria wa Cameroon na …
Kamal Ganzouri kuwa Waziri Mkuu mpya-Misri
WATAWALA wa kijeshi nchini Misri wamemteua waziri mkuu wa zamani Kamal Ganzouri aweze kuunda serikali mpya, shirika la habari la serikali limesema. Baraza la mawaziri la kiraia lilokuwa limeteuliwa na jeshi lilijiuzulu mapema wiki hii wakati maandamano yalipoanza mjini Cairo na miji mingine.hata hivyo kwa uchaguzi wa wabunge utaanza wiki ijayo kote nchini kama ilivyopangwa. Makabiliano karibu na medani ya …