Na Mwandishi Wetu HALMASHAURI Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi iliyokutana hivi karibuni imeitaka Serikali kutafuta fedha haraka kwa kuamua kuuza mahindi tani 80,000 kwa UNFP na nchini Kenya ili kulipa madeni ya wakulima. Aidha imeiagiza Serikali kuhakikisha inanunua mahindi ya wakulima yaliyopo majumbani na kwenye vituo vya ununuzi kabla ya upandaji wa msimu mpya haujaanza. Kwa mujibu wa …
Pinda awataka wanasheria ‘wajisafishe’ kwanza
*Ataka wajirekebishe ili kurudisha heshima yao Na Mwandishi Wetu WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amesema wanasheria wa nchi tano za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wana kazi kubwa ya kurekebisha tabia zao na kurudisha heshima yao mbele ya jamii hasa katika masuala ya rushwa, utawala bora na demokrasia. Waziri Pinda ametoa kauli hiyo Novemba 25, 2011 wakati akifungua Mkutano wa 16 …
Bingwa Uhai Cup kujulikana leo Dar es Salaam
Na Mwandishi Wetu BINGWA wa Michuano ya Kombe la Uhai anatarajiwa kujulikana leo baada ya mechi ya fainali ya michuano ya vijana wenye umri chini ya miaka 20 ya Kombe hilo (Uhai Cup) kwa klabu za Ligi Kuu kufanyika leo majira ya saa 3.00 asubuhi kwenye Uwanja wa Karume. Awali fainali hiyo kati ya Simba ambayo iliingia hatua hiyo kwa …
Watanzania wawili kucheza ligi daraja la pili Sweden
WACHEZAJI wawili wa Kitanzania, Joseph Kaniki (Golota) na William John wamefanikiwa kujiunga na timu ya Ligi Daraja la Pili KonyaSpor (KIF) nchini Sweden, baada ya kufanikiwa kupita katika majaribio(Trials). Kwa mujibu wa taarifa zaidi zinasema majaribio hayo yalijumuisha wachezaji zaidi ya 30 ambapo wachezaji watano walichaguliwa kujiunga na klabu hiyo ya Ligi Daraja la Pili, KonyaSpor (KIF). Habari hii imeletwa …
Superbrands launches first ever International tribute event in Tanzania
SUPERBRANDS, the independent authority and arbiter of branding, announced that they are hosting their annual tribute event to honour Tanzania’s strongest brands on December 15, 2011 at the Hyatt Regency Dar es Salaam, The Kilimanjaro in Dar es Salaam. Superbrands will also announce the highly anticipated ‘Brand of the Year’ award in addition to unveiling the second edition of the …
Superbrand kuzitangaza bidhaa zinazofanya vizuri 2011
Na Mwandishi Wetu MAMLAKA ya Utambuzi wa Bidhaa zinazofanya vizuri ya Superbrand imesema mwezi ujao inatarajia kufanya hafla ya mwaka ikiwa ni hatua ya kuzitangaza na kuzipa heshima bidhaa zinazofanya vizuri sokoni. Akizungumza katika taarifa yake aliyoitoa leo jijini Dar es Salaam, wakati akizitaja kampuni ya Azam pamoja na Benki ya CRDB zilizofanya vizuri katika bidhaa zao kadhaa, Mkurugenzi wa …