Zanzibar yashindwa kutamba kwa Burundi

Na Mwandishi Wetu TIMU ya Zanzibar, imeshindwa kutumia fursa ya kucheza nyumbani huku ikishangilia na idadi kubwa ya mashabiki na wapenzi wa mpira wa miguu jijini Dar es Salaam. Zanzibar ambayo katika mchezo wake wa kwanza iliupoteza leo imeshindwa kutamba dhidi ya vijana wa Burundi baada ya kutoka sulu ya bila kufungana hadi dakika 90 zinamalizika. Akizungumza mara baada ya …

Zimbabwe yainyoa Djibouti Kombe la Tusker

Na Mwandishi Wetu TIMU ya Zimbabwe leo mchana imefanikiwa kiibanjua timu ya Djibouti mabao 2-0, katika Mashindano ya Kombe la Tusker Chalenji yanayoendelea jijini Dar es Salaam. Zimbabwe katika mchezo huo walionekana kuwakamia vijana wa Djibouti hivyo kuwashambulia muda wote katika lango lao tangu dakika za mwanzo za mchezo huo. Vijana wa Zimbabwe walianza kufungua kitabu cha magoli katika dakika …

Mashirika 25 ya Kijamii kufunzwa namna ya kutimia vyombo vya habari

Na Mwandishi Wetu MASHIRIKA 25 kutoka Tanzania Bara ambayo yanaendesha kampeni za kudhibiti vitendo vya ukatili dhidi ya wanawake, watoto na makundi mengine yaliyoko pembezoni yatapatiwa stadi za kutambua habari na nini cha kufanya vyombo vya habari viweze kutangaza habari hizo. Taarifa hiyo imetolewa leo jijini Dar es Salaam kwa vyombo vya na Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Waandishi wa …

Mawaziri tisa wa Kikwete ni hatari`

    Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Zitto Kabwe, amesema mawaziri tisa wa serikali ya Rais Jakaya Kikwete, wanatishia uchumi wa nchi kutokana na kuendekeza vita vya kuusaka urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa mwaka 2015. Zitto, ambaye pia ni Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), japo hakuwataja mawaziri hao, alitoa madai hayo muda …