[/caption] caption id=”attachment_10407″ align=”aligncenter” width=”336″ caption=”Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa anapanda mti wa ukumbusho baada ya kungungua kiwanda hicho.”][/caption]
Obama aitakia heri Tanzania maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru
Na Mwandishi Wetu RAIS wa Marekani, Barack Obama ametuma salamu za pongezi na kuitakia Tanzania maadhimisho mema ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara. Tanzania Bara inatimiza miaka 50 ya Uhuru, Desemba 9, 2011. Aidha, Rais Obama ameihakikishia Tanzania kuwa Marekani itaendelea kubakia rafiki na mshirika wa kuaminika katika jitihada za kuhakikisha kuwa Watanzania kujiletea maisha bora na kwa …
CUF nao waomba mazungumzo na Rais
*JK akubali maandalizi yafanywa Na Mwandishi Wetu OFISI ya Rais, Ikulu, imepokea barua kutoka Chama cha Wananchi (CUF) kikiomba kukutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete. Kwa mujibu wa taariza zaidi juu ya maombi ya CUF, iliyotolewa leo na Ikulu ni kwamba Rais Kikwete amekubali ombi hilo la CUF na ameelekeza wasaidizi wake …
Dk. Bilal aiwakilisha Tanzania Mkutano wa Wakuu wa nchi EAC
MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal ameiwakilisha Tanzania katika Mkutano wa Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaofanyika mjini Bujumbura, Burundi kuanzia Novemba 29 na 30, 2011. Makamu wa Rais amewasili mjini hapa jana ambapo alipokelewa na mawaziri kadhaa wa Tanzania waliotangulia kuhudhuria mikutano ya ngazi za mawaziri, wakiongozwa na …
Ngoma Africa Band kuvamia Munchen Dec 3, 2011
CD ya “50 Uhuru Anniversary” inatamba redioni Na Mwandishi Wetu WATANZANIA waishio Ujerumani wameanza shamra shamra za kusherekea Miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara, kwa kasi kubwa inayotingisha kila kona jijini hapa. Sherehe hizo zinatarajia kuanzia Mjini München Desemba 3, 2011 ambapo kutakuwa na maonesho mbalimbali ya bidhaa za Tanzania, mavazi na mdahalo rasmi huku usiku kukiwa na burudani …